Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Forex sio kubet ni taaluma, tatizo wewe ulivaa nguo za dokta ukiwa ujasomea huo udokta unazan utaweza kutibu?, Hiyo moja pili huko ulipokuwepo ambako unasema sio betting unaweza tupa mrejesho hali yake kwa sasa juu ya hizo coin zako?
Nicheck pm mkuuNaomba link ya group
Wapi nimeandika forex ni kubet?? kwanza huu uzi wa mwaka gani halafu nafanya forex mpaka leo sijui hiyo kubet niliandika wapi.Forex sio kubet ni taaluma, tatizo wewe ulivaa nguo za dokta ukiwa ujasomea huo udokta unazan utaweza kutibu?, Hiyo moja pili huko ulipokuwepo ambako unasema sio betting unaweza tupa mrejesho hali yake kwa sasa juu ya hizo coin zako?
Ujinga.Kwanza niwape pole akina Ontario na wenzake ,kumbe ilikua kweli?