Nguvu ya biashara ya mtandao, umiliki wa maisha

CHUO CHA UFUNDI JITA

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
116
Reaction score
23



Wengi wamekuwa wakiuliza kuhusu biashara ya mtandao na wengi kushindwa kujiunga kutokana na kutoijua kwa undani au kukosa maelezo ya kutosha.
Na hii ni kutokana kuwa ni biashara ya kimataifa na majarida yake mengi yapo katika Lugha ya kiingereza.
Kutokana na uzoefu mkubwa katika biashara hii, nimefanikiwa kuandika kitabu ambacho kitaweza kuwasaidia distributors katika kufanya presentation, one to one nk.
Na hii ni kutokana na jinsi kinavyoelezea biashara hii kwa hatua.
Sifa za kitabu:
Ø Lugha nyepesi ya Kiswahili waweza kuuza ndani na Afrika Mashariki
Ø Kinaeleza kwa kina kuhusu biashara hii isiyojulikana kwa wengi
Ø Kinaeleza kwa nini watu wengi wanapata pesa nyingi katika biashara hii.
Ø Kina shuhuda mbalimbali za kusisimua kwa waliotumia bidhaa na walioamua kufanya biashara hii.
Ø Kinajibu maswali yote ya watu kuhusu biashara hii ya karne mpya
Unaweza kuwa mwandishi
Anatafutwa mwana FOREVER LIVING PRODUCTS (FLP Distributor) mwenye ndoto kubwa ya kuzidi kumiliki maisha yake na kutimiza ndoto za kuwa Mwandishi wa kitabu /vitabu.
UMEANZISHIWA, MALIZIA……..
Kitabu hiki KINAUZWA kama MASTER na atakaye kinunua atakuwa na haki ya kuweka jina lake katika sehemu ya AUTHOR na haki zote atamiliki. Atazalisha na kuuza.

Wsiliana nami +255 752 698 691 jaymuta@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…