Quicklime Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 175 Reaction score 62 Jul 22, 2011 #1 Jamani wanajamvi ni kweli dawa ikiwekwa kwenye maji inapungua nguvu? Na kama inapungua nguvu hiyo inaenda wapi? Msaada wenu tafadhali....
Jamani wanajamvi ni kweli dawa ikiwekwa kwenye maji inapungua nguvu? Na kama inapungua nguvu hiyo inaenda wapi? Msaada wenu tafadhali....
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,144 Reaction score 6,942 Jul 22, 2011 #2 be specific dawa gani..?! kidonge ama iliyochupani