Elections 2010 Nguvu ya Dr.Slaa Mwanza kumpeleka Kikwete tena Mwanza?

Huoni wameshatoa na master plan ya kigamboni mkuu, wala si utani baada ya miaka 5 itakuwa kama Los Angeles. Yaani ahadi nyingine inatakiwa kuwaona na wenzio ni watu wazima, namna hii ni sawa kuona wote ni watoto wadogo.
 
nani aache kupiga kura.weeeee..nimeclick mpaka kwenye website ya nec jina langu lipo kwenye wapiga kura halali sasa msimamizi wa uchaguzi asinichanganye kabisa tar 31

ngoja nami nifanye the same kucheki
 
Uzuri mmoja hata tbc wakibana tuna star tv, itv na zingine
 
Habari za kuaminika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mdau huko Mwanza ni kuwa umati aliokusanya Dr.Slaa leo huko Mwanza haujapata kutokea na imemlazimu JK kwenda Mwanza tena kesho..

Naagiza vijana wanitumie picha niweke hapa

Asante kwa habari njema, barikiwa kwa hilo!

Hii ni dalili njema kuwa watanzania tumeaza kuwa macho na nchi yetu.
 
View attachment 15568
Naomba atakayeweza aikuze hiyo picha.
kusema ukweli wangu wote, sijawahi ona kitu kama hii... tena watu kwenda kwa hiyari yao

Dawa kwa kikwete ni simpo sana... Kikwete akienda tena Mwanza, basi na Slaa arudi tena Mwanza.... Kikwete ataanguka tu ili aonewe huruma
 
People Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrr!!!!!!!!!
 
:A S 103: bye bye dokta feki Kikwete, ubabaishaji sasa basi!
 
Mwambieni aende pia Sumbawanga, Arusha, Musoma maana pia majimbo yanamtoka!
 
Kama hii itakuwa kweli basi Dr. Slaa atakuwa amemaliza kazi, kwa sababu hata JK atakuwa ameanza kucheza ngoma ya Dr. Slaa. Na pia mawazo na mbinu za JK zitakuwa kwisha. mwisho atakuwa Ze komedi. Unajua Convicing power ya JK ni ndogo sana ukilinganisha na Slaa. Itabidi sasa ahaidi daraja kutoka Entebbe mpaka mwanza pia Kagera na Musoma.
 
TBC hawajaonesha kabisa picha.....mwandishi ameongea kutoka kwenye simu....nadhani huo umati hata hauchakaluchiki...


Kaka TBC wameonesha asubuhi hii ila usiku hawakuonesha...hakywamungu Mwanza ilikuwa balaa..kwa wale walioangalia TBC asubuhi watathibitiha hili.

Nadhani ni formula mpya ya TBC sasa wamegundua watu wanaangalia sana TV usiku kwahiyo picha za ukweli wanaweka asubuhi...ila ITV nadhani wataonyesha usiku wa leo
 
unamaanisha nini unavyosema kama hii itakuwa kweli!?????? si umeona Picha au unadhani ni kazi ya computer!! hahahahhahahha!
 




Kwa kheri JK tunakutakia mapumziko mema .......Karibu Dr. Slaa na Chadema uongozi mpya.......
 
Yes hakuna kulala mpaka kieleweke, Peoples Powerrrrrrrrrrrrr. kwa heri jk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…