Elections 2010 Nguvu ya Dr.Slaa Mwanza kumpeleka Kikwete tena Mwanza?

Jamani tunahitaji hizo picha za Mwanza jana pale uwanja wa Furahisha.

Mimi jana wakti naangalia TBC USIKU kuhusiana na hiyo news sikuona chochote. Inaelekea TBC kwa makusudi waliamua kuzificha hizo picha za matukio ya Mwanza. Hapa ndipo mimi ninapotofautina na hawa jamma wa TBC. Yaani pale wanapoona CHADEMA ime-shine wanapotezea!!!!

TBC acheni longolongo tunawaomba muweke mambo hadharani ili watu wafanye vitu vyao tarehe 31/10/2010.
 
wizi wa kura wa mwaka huu unahitaji mbinu ya kimafia, ama cvyo, WATAHAIBIKA!
 

Attachments

  • slaa.jpg
    52.6 KB · Views: 35
Si kuna ratiba za wagombea. JK kesho anapaswa kuwa wapi kufuatana na ratiba yake..

Jk hawezi kufuata ratiba. Maana hii ni mara ya tatu kurudi Mza! Mambo mazito. Jk ningemwambia ... Maji yakimwagika, hayazoleki... Apumzike.
 
Hili nyomi linaombwa lipige kura ya mabadiliko 31-10-10...
 


Hapa ni magomeni je angefanyia hapo Furahisha si ingekuwa balaaa.

Mpaka sasa haijajulikana hii picha ni ya wapi...wengine wanasema nzega wangine...wanasema kahama....na sasa wanasema ni Kirumba au Furahisha....All in all is still the same ki Dr.Slaaa...Sema kama ni mza..basi ni kifo kwa SSM.
 
Na mimi nilihisi kitu cha namna hiyo kuwa jamaa lazima afanye repetation.....
 
There is no more Malaria Sugu. Thanks be to God :smiling:
 

Hapo kwenye red, ni ukweli mtupu. Tunaomba Mungu uchaguzi uwe we huru na haki. maana wakileta zile zao za kuchakachua, people's power itawachakachua.
BBC NEWS | Europe | People power forces Georgia leader out
 
mhn naona kila siku zinavyo sogea kufikia D Day , ndivyo nami ninavyo pata usingizi mnono, card yangu ya kupigia kura ninayo masaa yote, nafikiria kushona mfuko kwenye bukta yangu isije ikanipotea. nimehakiki jina na kituo changu mambo swafi kabisaa, na mwanza mhn wamenipa raha, 31st tukapige kura bila kukosa, mapemaa na tukazilinde mpaka mwisho.
 
Huo umati unaosimuliwa hapa JF iwapo ni wa kweli basi si wa kushtua.Na JK hana sababu kurudi huko kuwapa kidomo domo washabiki wa dkt.Slaa.
Ikiwa ni umati mkubwa hakuna aliyeongoza kama prof.Lipumba siku ya urudishaji fomu hapa Dar.Jengine ni kuwa Mwanza pamoja na kuwa ina wapiga kura wengi lakini ni sehemu ndogo tu ya Tanzania.
Hata watu wakijitokeza namna gani tatizo la dkt.Slaa lipo pale pale kuwa ni mgombea nuksi kuliko hata Hashim Rungwe.Tunavyoelezwa ni kuwa baada ya kufika hapo Furahisha alisema:
" katika kufanya maamuzi magumu kuhusu kufuta kodi ya serikali katika vifaa vya ujenzi, hatatazama nchi za Afrika Mashariki, kama anavyotaka Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashriki, Dk. Diodurus Kamala kwa vile maamuzi atakayochukua ni kwa ajili ya maslahi ya Watanzania."
Kwa maana hiyo amekusudia kuvunja mafanikio yote yaliyofikiwa katika kuelekea umoja wa Afrika Mashariki.


 
nani aache kupiga kura.weeeee..nimeclick mpaka kwenye website ya nec jina langu lipo kwenye wapiga kura halali sasa msimamizi wa uchaguzi asinichanganye kabisa tar 31

Tuwekeee hiyo website ya NEC hapa mkuu
 

Kadi yangu hata sitembei nayo nimeificha sehemu salama kabisa ili hata watoto wangu wasije wakaijeruhi au wakaimisplace nikashindwa kuitumia na kila siku kabla ya kulala naichungulia kama ipo na nisije nikasahau nimeiweka wapi. hii kitu imekuwa bidhaa adimu.
 

Nimejaribu kuikuza picha ya eneo Magomeni ya Kirumba Jijini Mwanza.
 
This is an indication of PEOPLES' POWER. Come what may, I can see the light at the end of the tunnel!
 
Mwaka huu kazi ipo,tusubiri tuone baada ya siku ya kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…