gambalakobe
Member
- Jul 1, 2015
- 55
- 73
Laiti kama ungefahamu hisia ya sita inanguvu kubwa katika mwili wako kukuwezesha kufanya mambo makubwa hata mashetani yakakuogopa.
Unaweza kumshawishi mtu kitu bila kuongea naye chochote kwa kutumia hisia ya sita akahafikiana na wewe, eg.kumtaka mtu akupe fedha bila ridhaa yake,kumtaka msichana au mvulana kimahusiano kwa kutumia nguvu ya hisia ya sita bila kumwambia maneno.
Mtu Mwenye nguvu hii aweza kumhisi Mwizi bila kukosea au kuhisi tukio litakalotokea kabla,au aweza hisi mdeni wake anakuja kumkamata akatoaka eneo la tukio mara mdeni naye kaingia kumhulizia,!!!Very interested,nguvu hii tunayowachache [emoji13][emoji13][emoji13]hasa inapatikana kwa mazoezi maalum.(Special exercises)
Wachawi na wanga,mapepo wanatuogopa sana watu wenye uwezo huu,wakati mwingine waweza kuwasikia wanga au wachawi batini mwako au mlangoni mwako usihofu wala usiogope dakika moja ya nguvu hii ya hisia ya sita yaweza kumfukuza,kumzuia hata kumkamata kabisa,nguvu hii imo ndani ya mwili wa mwanadamu.
Nguvu hii inaweza kutumika kuhubiri injiri ukawa mchingaji,askofu bora Mwenye ushawishi kuliko wote ukisimama tu kanisani wahumini ufurahia na kushangilia,watakupenda kupita vile ufikiriavyo.
Nguvu hii yaweza kutumika katika music ukawa mwimbaji bora masikon Mwa watu ukapendwa na kila rika watoto,wazee,wamama na
Wababa.ukiimba watu uzimia wengine kufa kabisa mf. Michael jackson, nk.
Wengine uitumia kuupata utajiriwa kutisha na kumiliki Mali lukuki.
Wengine utumia kupata siri ya ulimwrngu huu baadaye uitwa ma- genius kama Albert Einstein.
Nguvu hii unayo ndani yako,itumie ikuletee manufaa.
Nitaendelea.