Nguvu ya Mitandao ya Kijamii: Posti za miaka 6 iliyopita zamnyang'anya followers, zamkwamisha kushiriki Miss South Africa 2020 miss Bianca Schoombee

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Mwanadada Bianca Schoombee wa Afrika Kusini amejitoa katika kinyang’anyiro cha mashindano ya Miss South Africa kwa mwaka 2020. Taarifa hiyo imetolewa na wakala wake.

Bianca alipata mapokezi makubwa katika mtandao wa Twitter baada ya kuposti picha zake kama sehemu ya ushiriki wake katika mashindano hayo.

Inaelezwa kuwa katika maombi ya kushiriki mashindano hayo yaliyofunguliwa mnamo Mei 11, nyota ya Bianca ilianza kung’aa na hivyo kutabiriwa kuwa mrembo ambaye angepokea taji la Miss South Africa baada ya Sasha-Lee Olivier ambaye analishikilia kwa sasa.

Hata hivyo, upendo toka kwa mashabiki wake ulibadilika ghafla na kuwa hasira kali baada ya posti zake za miaka 6 iliyopita zilizoashiria ubaguzi wa rangi na matusi ya waziwazi kufukuliwa na kusambazwa mitandaoni.

Akaunti yake ya Twitter ilipokea pigo kubwa ambapo hadi siku ya Jumatano, mashabiki wanaomfuatilia walipungua na kufikia 700 kutoka wafuasi 8,000 siku chache kabla.

Mlimbwende huyo aliomba radhi kupitia Twitter akisisitiza kuwa alitenda hayo akiwa bado binti mdogo wa miaka 14 na kwamba amebadilika lakini watumiaji wa mitandao hawakuelewa hilo

===
ZAIDI SOMA:

JOHANNESBURG - Bianca Schoombee has pulled her entry for the 2020 Miss South Africa pageant, her modelling agency has announced.

Schoombee began trending on Twitter as a favourite potential finalist among the public after posting photos of herself as part of her Miss SA entry.

The love quickly turned into disappointment and outrage, however, on Wednesday when offensive tweets posted by her over six years ago were dug up and widely shared.

Schoombee apologised for the tweets, stating that they were shared when she was still a teenager and that she had since changed. However, people on social media just weren't buying it.

Her Twitter following also took a major knock. By Wednesday afternoon, she had just over 700 followers, having grown to almost 8,000 followers over the previous few days.

The Miss South Africa company stated on its website that any semifinalist or finalist may not have been involved in any unsavoury or unethical incidents or conduct that may bring the organisers or the Miss South Africa pageant into disrepute.

Sync Models said that it and Schoombee had decided that her pulling out of the contest was best for all involved. It also came to her defence, saying she has grown as a woman and has changed her ways.

She and her agency have asked that she be forgiven.
 
#BiancaMustFall#,
That bi@@h was so mean and still she is.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
This is why the only social media am using is JF and Whatsapp.

Non-Obvious Relationship awareness(NORA). Hongera mwalimu "X" uliyeni-teach hii NORA 7 years ago huko taasisi ya elimu ya juu "X"
 
Ni nguvu ya wajinga. Watu hubadilika, u can’t judge someone kwa kitu alichokifanya utotoni, that’s plain stupid. Unataka uniambie kuna binadamu ambaye toka anazaliwa hajawahi fanya kitu cha kijinga hata kimoja? We grow, we learn, we become better or worse than we were yesterday. Maisha ndivyo yalivyo. Huu upuuzi ndicho kitu kilinifanya nikadelete sns zote nikaanza upya
 
Acha ufalaaa ,,,watu Wana affectwa na racism huko bondenii ,kam anafham alikosea kwann asingeomba msamaha before ,,, mtoto wa kenge ni kenge tu..
 
Unabaguliwa ndani ya nchi yako!!! Si ufala huo!!! Halafu hao ndo wanakula matunda ya South Africa,weusi wanapata tabu!!!
 
Reactions: THT
Wafukua makaburi wapo kila sehemu[emoji28][emoji28][emoji28]

Dark Side
 
Acha ufalaaa ,,,watu Wana affectwa na racism huko bondenii ,kam anafham alikosea kwann asingeomba msamaha before ,,, mtoto wa kenge ni kenge tu..
Umekuja na matusi, goes to show we ni mtu wa aina gani. Mtu akiwa racist inamaana atakua racist miaka yote? Mtoto mdogo anayeiba shilingi mia atakua mwizi maisha yote? We hamna kosa ambalo ushawahi kufanya ukiwa mdogo? Bado unalifanya hadi leo?

Tumia akili, kama huwezi kufa tu acha kutumalizia oxygen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…