Nguvu ya Ulimi (Power of the Tongue)

Nguvu ya Ulimi (Power of the Tongue)

laii

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
843
Reaction score
1,094
NGUVU YA ULIMI.
Mwanadamu ana nguvu kubwa sana ya kumiliki mazingira aliyonayo-Hii ni zawadi kubwa sana kutoka kwa Mungu,tatizo wengi hatujui hii nguvu ya kumiliki na kutawala tutaitumiaje(Power to possess and rule by using Your soul and tongue).Leo nitazungumzia kuhusu ulimi,Ulimi ni kiungo katika mwili wa binadamu ambacho kinasaidia katika kula yaani kutafuna na kumeza-kinasaidia katika uhai kama wote tujuavyo binadamu hawezi kuishi bila kula, unasadia katika kuonja ladha ,hapa inasaidia kujua uzuri au ubaya wa kitu,ili ujue ichi kitu ni kichungu lazima ukionje, unatusaidia katika kuongea- hapa ndo kwenye mamlaka ya kumiliki na kutawala, (POWER TO POSSES AND RULE).
Soma kitabu cha mwanzo1:6-Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.Utaona hapa Mungu Baba alisema na ikawa,si kwamba tunajifananisha na Mungu la hasha,sisi tuliumbwa kwa mfano Wake na akatupa mamlaka ya kumiliki kila kitui chini ya jua na si kiumbe kingine, kwa hiyo Sisi Binadamu tunamamlaka ya kuamuru chochote kifanyike as long as ni wakati sahihi na ni jambo sahihi.
shetani hakupewa mamlaka yeyote mahali popote pale kwa hiyo hana mamlaka juu yetu, Ila Sisi ndo tunamamlaka juu yake(Ufunuo 12:11-Nao wakamshinda kwa damu ya mwana-kondoo, na kwa Neno la Ushuhuda wao; mbao hawakupenda maisha yao hata kufa(Ni vyema ukasoma Ufunuo 12-sura yote ukajua walimshinda nani Kwa Damu ya Mwana-Kondoo) .Kwa hiyo hata sisi tunaweza Kuitumia Damu Ya Mwana-Kondoo na kumshinda shetani. Tumia mamlaka uliyopewa kwa kutamka, mfano toka shetani Kwa Jina LA Yesu Kristu Mwana Wa Mungu Alie Hai, hakika atatoka,kwa kua Jina LA Yesu Kristu Lina Mamlaka na Lina Nguvu.
The tongue is the most powerful part of the human body,its also the most dangerous weapon(Ulimi ni kiungo chenye nguvu sana katika mwili wa binadamu na ni silaha mbaya sana)-Our words have the power to humiliate to hurt, to cut and destroy lives, much more then physical blows knives or weapons.(maneno yetu yana nguvu ya kumuumiza mtu, kukata na kuharibu maisha kuliko kumuumiza mtu kwa silaha) .Vidonda vilivyosababishwa na silaha hupona lakini maneno yaliyojeruhi mioyo huishi milele, kwa hiyo tuwe makini na maneno tunayowatamkia wenzetu, ni vyema ukatafakari jambo kabla ya kulitamka/ kumtamkia mtu-kwa Neno lako moja unaweza ukajenga furaha ya mtu iliyopotea au likamwangamiza mtu.
Yakobo3:9-12- Kwa kutumia ulimi tunamsifu Bwana na Baba yetu na kwa ulimi huo huo tunawalaani watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu. Katika kinywa hichohicho hutoka sifa na laana. Ndugu zangu, haipaswi kuwa hivyo. Je Chemchem yanaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji machungu? Je ndugu zangu, mtini waweza kuzaa mzeituni, au mzabibu waweza kuzaa tini? Pia haiwezekani chemchemi ya chumvi kutoa maji matamu.
Wakolosai 4:6-Mazungumzo yenu yanapaswa kuwa daima mema na yaliyokolezwa kwa chumvi na ya kuvutia, na mnapaswa kujua jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.
Jinsi Ya Kutumia Ulimi
Kwanza samehe waliokukosea na kuwaomba msamaha uliowakosea(Msamaha una nguvu kubwa sana),Omba toba na msamaha kwa Mungu,jitakase kwa Damu ya Mwanakondoo iliyomwagika pale Calvary. amini jambo fulani linawezekana,liweke moyoni litafakari kwa kina na uliombee ulinzi wa Kimungu(Hapa unatumia Damu Ya Yesu Kristu Mwana Wa Mungu Alietufia msalabani).
Nguvu ya kutawala iko rohoni mwako na kwenye Ulimi-Ukishafanya hivyo unaweza kutamka kwa imani jambo lolote na likawa.
Tuangalie Methali12;18-Maneno ya ovyo hujeruhi kama upanga, lakini asemayo mwenye hekima huponesha kidonda,hapa tunaona nguvu ya Ulimi kujeruhi au kumfariji mtu,kwa hiyo tuchunge sana maneno tunayowatamkia wenzetu.
Methali 18;21-Kifo na UZIMA viko katika nguvu za Ulimi naye anaye upenda atakula matunda yake.
Mathayo18;18-Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni-so kumbe tunaweza kufungua milango yetu ya baraka au kuifunga kwa ndimi zetu wenyewe[emoji848].
Methali 13;3- Achungaye mdomo wake huyahifadhi maisha yake, anayeropoka ovyo hujiletea maangamizi-(Unazidi kuona nguvu ya roho,itakupa hekima ya kunyamaza,na utaona nguvu ya ulimi ukitamka jambo lisilo sawa linaweza kukuletea maangamizi lakini ukiuchunga utaokoka)
Waefeso4;29-Msiruhusu maneno machafu yatoke vinywani mwenu, bali mazungumzo yenu yawe ya msaada ya kuwajenga wengine kufuatana na mahitaji yao, ili wale wanaowasikiliza wapate kufaidika.(Tunazidi kuona nguvu ya ulimi na roho yenye busara ilivyokua na nguvu-roho isiyo na busara hutamka lolote) .
You are the one Who decide Who you want to be, wewe mwenyewe ndo unaamua uwe nani na kwa wakati gani, ni swala la kuamini inawezekana, (Waebrania 11:1 "Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana.")kua na imani na wewe mwenyewe usipokua na imani na wewe mwenyewe unategemea nani atakujengea imani? (Warumi 10:17 yasema "Basi imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la kristo.")
Unaeza kujifunza kujiamini/ kua na imani na wewe mwenyewe, ukiamka asubuhi just go and look at the mirror then ask your self who you see in front of the mirror the answer is you(Amka asubuhi jiangalie kwenye kioo ujiulize unamwona nani jibu ni wewe, so ujikubali jinsi ulivyo na amua kuanzia sasa nataka kua mtu wa aina gani, nataka kufanya biashara ya aina gani, nataka mwenzi wa aina gani, je unapenda familia yako ije iweje, anza kuijenga rohoni, ione katika maono mwombe Mungu hakika utafanikiwa.
Niamini hakuna mtu atakae kuchaguliwa kua mtu wa aina gani isipokua wewe mwenyewe,kwanza binadamu tumeumbiwa wivu na husda,ni watu wachache sana wenye moyo wa kupenda kila anaemzunguka afanikiwe, hata ndugu wa damu wenyewe hawapendani ije kua walimwengu,amka chukua hatua hujachelewa anza sasa kwa kujikubali, ikiwezekana andika kwenye diary yako au kwenye karatasi na bandika mahali ambapo kila ukiamka unaona ulichoandika,mwombe Mungu kwa bidii akusaidie ukamilishe ulichokihaidi, nena unachokitaka hakika utafanikiwa.
Ukitaka kufanya chochote kwenye Dunia hii unamamlaka ya kuamuru kiwe na kikawa,unamamlaka ya kuamuru kiangamie na kikaangamia,tumia Ulimi wako vizuri na ukishakutamka uyaishi matendo hayo.Mfano unatamka nataka kufungua biashara toka nenda kaanze,si unatamka alafu unatulia ndani ukisubiri miujiza utakua hujaishi kwenye maneno yako,ukitaka kuajiriwa toka anza kutuma maombi,tafuta matangazo ya kazi ,pita kwenye maofisi,unataka kusoma tamka na anza kutafuta vyuo.Hakika ukiutumia Ulimi wako vizuri utaishi maisha yenye furaha na Amani. Jitamkie mema na watamkie wanaokuzunguka mema(mpende jirani yako kama nafsi yako) Love your neighbour as you love yourself, na Mungu atakubariki na kupokea maombi yako na kukutimizia matamanio ya moyo wako. Amen[emoji120]
 
AMINA!
Mwanadamu ana nguvu kubwa sana ya kumiliki mazingira aliyonayo-Hii ni zawadi kubwa sana kutoka kwa Mungu,tatizo wengi hatujui hii nguvu ya kumiliki na kutawala tutaitumiaje(Power to possess and rule by using Your soul and tongue). Leo nitazungumzia kuhusu ulimi,Ulimi ni kiungo katika mwili wa binadamu ambacho kinasaidia katika kula yaani kutafuna na kumeza-kinasaidia katika uhai kama wote tujuavyo binadamu hawezi kuishi bila kula, unasadia katika kuonja ladha ,hapa inasaidia kujua uzuri au ubaya wa kitu,ili ujue ichi kitu ni kichungu lazima ukionje, unatusaidia katika kuongea- hapa ndo kwenye mamlaka ya kumiliki na kutawala, (POWER TO POSSES AND RULE).

Shetani hakupewa mamlaka yeyote mahali popote pale kwa hiyo hana mamlaka juu yetu, Ila Sisi ndo tunamamlaka juu yake(Ufunuo 12:11-Nao wakamshinda kwa damu ya mwana-kondoo, na kwa Neno la Ushuhuda wao; mbao hawakupenda maisha yao hata kufa(Ni vyema ukasoma Ufunuo 12-sura yote ukajua walimshinda nani Kwa Damu ya Mwana-Kondoo) .Kwa hiyo hata sisi tunaweza Kuitumia Damu Ya Mwana-Kondoo na kumshinda shetani. Tumia mamlaka uliyopewa kwa kutamka, mfano toka shetani Kwa Jina LA Yesu Kristu Mwana Wa Mungu Alie Hai, hakika atatoka,kwa kua Jina LA Yesu Kristu Lina Mamlaka na Lina Nguvu.

Mathayo18;18-Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni-so kumbe tunaweza kufungua milango yetu ya baraka au kuifunga kwa ndimi zetu wenyewe.

Ukitaka kufanya chochote kwenye Dunia hii una mamlaka ya kuamuru kiwe na kikawa,una mamlaka ya kuamuru kiangamie na kikaangamia,tumia Ulimi wako vizuri na ukishakutamka uyaishi matendo hayo. Mfano unatamka nataka kufungua biashara toka nenda kaanze, si unatamka alafu unatulia ndani ukisubiri miujiza utakua hujaishi kwenye maneno yako, ukitaka kuajiriwa toka anza kutuma maombi, tafuta matangazo ya kazi, pita kwenye maofisi,unataka kusoma tamka na anza kutafuta vyuo. Hakika ukiutumia Ulimi wako vizuri utaishi maisha yenye furaha.
 
Habari iliyo njema kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa unaweza kutumia nguvu uliyonayo kwa kuutumia ulimi wako vizuri,kwa kujitamkia unahitaji kua na mchumba wa aina gani, mfano unataka kua na mke kabila gani /lako wa dini ipi/yako unaweza kuyatafakari kwa kina rohoni like meditation na kuyatamka kwa ulimi wako nahitaji mtu wa aina hii na ongea na Mungu Wa Mbinguni Aketie Kwenye Kiti cha Enzi kuhusu tamanio la roho yako,hii nimeshafanya small research,imefanya kazi kwa watu wengi bila kutambua nguvu walizokua nazo. Kazi kwenu vijana ambao hamjachumbia /kuoa.
Wasalaam Laii
artworks-000651883216-6nc0re-t500x500.jpeg
 
Mwanadamu ana nguvu kubwa sana ya kumiliki mazingira aliyonayo-Hii ni zawadi kubwa sana kutoka kwa Mungu,tatizo wengi hatujui hii nguvu ya kumiliki na kutawala tutaitumiaje(Power to possess and rule by using Your soul and tongue). Leo nitazungumzia kuhusu ulimi,Ulimi ni kiungo katika mwili wa binadamu ambacho kinasaidia katika kula yaani kutafuna na kumeza-kinasaidia katika uhai kama wote tujuavyo binadamu hawezi kuishi bila kula, unasadia katika kuonja ladha ,hapa inasaidia kujua uzuri au ubaya wa kitu,ili ujue ichi kitu ni kichungu lazima ukionje, unatusaidia katika kuongea- hapa ndo kwenye mamlaka ya kumiliki na kutawala, (POWER TO POSSES AND RULE).

Soma kitabu cha mwanzo1:6-Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.Utaona hapa Mungu Baba alisema na ikawa,si kwamba tunajifananisha na Mungu la hasha,sisi tuliumbwa kwa mfano Wake na akatupa mamlaka ya kumiliki kila kitui chini ya jua na si kiumbe kingine, kwa hiyo Sisi Binadamu tunamamlaka ya kuamuru chochote kifanyike as long as ni wakati sahihi na ni jambo sahihi.

Shetani hakupewa mamlaka yeyote mahali popote pale kwa hiyo hana mamlaka juu yetu, Ila Sisi ndo tunamamlaka juu yake(Ufunuo 12:11-Nao wakamshinda kwa damu ya mwana-kondoo, na kwa Neno la Ushuhuda wao; mbao hawakupenda maisha yao hata kufa(Ni vyema ukasoma Ufunuo 12-sura yote ukajua walimshinda nani Kwa Damu ya Mwana-Kondoo) .Kwa hiyo hata sisi tunaweza Kuitumia Damu Ya Mwana-Kondoo na kumshinda shetani. Tumia mamlaka uliyopewa kwa kutamka, mfano toka shetani Kwa Jina LA Yesu Kristu Mwana Wa Mungu Alie Hai, hakika atatoka,kwa kua Jina LA Yesu Kristu Lina Mamlaka na Lina Nguvu.

The tongue is the most powerful part of the human body,its also the most dangerous weapon(Ulimi ni kiungo chenye nguvu sana katika mwili wa binadamu na ni silaha mbaya sana)-Our words have the power to humiliate to hurt, to cut and destroy lives, much more then physical blows knives or weapons.(maneno yetu yana nguvu ya kumuumiza mtu, kukata na kuharibu maisha kuliko kumuumiza mtu kwa silaha) .Vidonda vilivyosababishwa na silaha hupona lakini maneno yaliyojeruhi mioyo huishi milele, kwa hiyo tuwe makini na maneno tunayowatamkia wenzetu, ni vyema ukatafakari jambo kabla ya kulitamka/ kumtamkia mtu-kwa Neno lako moja unaweza ukajenga furaha ya mtu iliyopotea au likamwangamiza mtu.

Yakobo3:9-12- Kwa kutumia ulimi tunamsifu Bwana na Baba yetu na kwa ulimi huo huo tunawalaani watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu. Katika kinywa hichohicho hutoka sifa na laana. Ndugu zangu, haipaswi kuwa hivyo. Je Chemchem yanaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji machungu? Je ndugu zangu, mtini waweza kuzaa mzeituni, au mzabibu waweza kuzaa tini? Pia haiwezekani chemchemi ya chumvi kutoa maji matamu.
Wakolosai 4:6-Mazungumzo yenu yanapaswa kuwa daima mema na yaliyokolezwa kwa chumvi na ya kuvutia, na mnapaswa kujua jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.

Jinsi Ya Kutumia Ulimi

Kwanza samehe waliokukosea na kuwaomba msamaha uliowakosea(Msamaha una nguvu kubwa sana),Omba toba na msamaha kwa Mungu,jitakase kwa Damu ya Mwanakondoo iliyomwagika pale Calvary. amini jambo fulani linawezekana,liweke moyoni litafakari kwa kina na uliombee ulinzi wa Kimungu(Hapa unatumia Damu Ya Yesu Kristu Mwana Wa Mungu Alietufia msalabani).

Nguvu ya kutawala iko rohoni mwako na kwenye Ulimi-Ukishafanya hivyo unaweza kutamka kwa imani jambo lolote na likawa.
Tuangalie Methali12;18-Maneno ya ovyo hujeruhi kama upanga, lakini asemayo mwenye hekima huponesha kidonda,hapa tunaona nguvu ya Ulimi kujeruhi au kumfariji mtu,kwa hiyo tuchunge sana maneno tunayowatamkia wenzetu.

Methali 18;21-Kifo na UZIMA viko katika nguvu za Ulimi naye anaye upenda atakula matunda yake.

Mathayo18;18-Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni-so kumbe tunaweza kufungua milango yetu ya baraka au kuifunga kwa ndimi zetu wenyewe.

Methali 13;3- Achungaye mdomo wake huyahifadhi maisha yake, anayeropoka ovyo hujiletea maangamizi-(Unazidi kuona nguvu ya roho,itakupa hekima ya kunyamaza,na utaona nguvu ya ulimi ukitamka jambo lisilo sawa linaweza kukuletea maangamizi lakini ukiuchunga utaokoka)

Waefeso4;29-Msiruhusu maneno machafu yatoke vinywani mwenu, bali mazungumzo yenu yawe ya msaada ya kuwajenga wengine kufuatana na mahitaji yao, ili wale wanaowasikiliza wapate kufaidika.(Tunazidi kuona nguvu ya ulimi na roho yenye busara ilivyokua na nguvu-roho isiyo na busara hutamka lolote) .

Ukitaka kufanya chochote kwenye Dunia hii una mamlaka ya kuamuru kiwe na kikawa,una mamlaka ya kuamuru kiangamie na kikaangamia,tumia Ulimi wako vizuri na ukishakutamka uyaishi matendo hayo. Mfano unatamka nataka kufungua biashara toka nenda kaanze, si unatamka alafu unatulia ndani ukisubiri miujiza utakua hujaishi kwenye maneno yako, ukitaka kuajiriwa toka anza kutuma maombi, tafuta matangazo ya kazi, pita kwenye maofisi,unataka kusoma tamka na anza kutafuta vyuo. Hakika ukiutumia Ulimi wako vizuri utaishi maisha yenye furaha.

Asante sana kwa hili Neno, Mungu akubariki sana.
 
Ubarikiwe sana mtumishi, endelea kutupa mafini hapa
 
NGUVU YA ULIMI.
Mwanadamu ana nguvu kubwa sana ya kumiliki mazingira aliyonayo-Hii ni zawadi kubwa sana kutoka kwa Mungu,tatizo wengi hatujui hii nguvu ya kumiliki na kutawala tutaitumiaje(Power to possess and rule by using Your soul and tongue).Leo nitazungumzia kuhusu ulimi,Ulimi ni kiungo katika mwili wa binadamu ambacho kinasaidia katika kula yaani kutafuna na kumeza-kinasaidia katika uhai kama wote tujuavyo binadamu hawezi kuishi bila kula, unasadia katika kuonja ladha ,hapa inasaidia kujua uzuri au ubaya wa kitu,ili ujue ichi kitu ni kichungu lazima ukionje, unatusaidia katika kuongea- hapa ndo kwenye mamlaka ya kumiliki na kutawala, (POWER TO POSSES AND RULE).
Soma kitabu cha mwanzo1:6-Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.Utaona hapa Mungu Baba alisema na ikawa,si kwamba tunajifananisha na Mungu la hasha,sisi tuliumbwa kwa mfano Wake na akatupa mamlaka ya kumiliki kila kitui chini ya jua na si kiumbe kingine, kwa hiyo Sisi Binadamu tunamamlaka ya kuamuru chochote kifanyike as long as ni wakati sahihi na ni jambo sahihi.
shetani hakupewa mamlaka yeyote mahali popote pale kwa hiyo hana mamlaka juu yetu, Ila Sisi ndo tunamamlaka juu yake(Ufunuo 12:11-Nao wakamshinda kwa damu ya mwana-kondoo, na kwa Neno la Ushuhuda wao; mbao hawakupenda maisha yao hata kufa(Ni vyema ukasoma Ufunuo 12-sura yote ukajua walimshinda nani Kwa Damu ya Mwana-Kondoo) .Kwa hiyo hata sisi tunaweza Kuitumia Damu Ya Mwana-Kondoo na kumshinda shetani. Tumia mamlaka uliyopewa kwa kutamka, mfano toka shetani Kwa Jina LA Yesu Kristu Mwana Wa Mungu Alie Hai, hakika atatoka,kwa kua Jina LA Yesu Kristu Lina Mamlaka na Lina Nguvu.
The tongue is the most powerful part of the human body,its also the most dangerous weapon(Ulimi ni kiungo chenye nguvu sana katika mwili wa binadamu na ni silaha mbaya sana)-Our words have the power to humiliate to hurt, to cut and destroy lives, much more than physical blows knives or weapons.(maneno yetu yana nguvu ya kumuumiza mtu, kukata na kuharibu maisha kuliko kumuumiza mtu kwa silaha) .Vidonda vilivyosababishwa na silaha hupona lakini maneno yaliyojeruhi mioyo huishi milele, kwa hiyo tuwe makini na maneno tunayowatamkia wenzetu, ni vyema ukatafakari jambo kabla ya kulitamka/ kumtamkia mtu-kwa Neno lako moja unaweza ukajenga furaha ya mtu iliyopotea au likamwangamiza mtu.
Yakobo3:9-12- Kwa kutumia ulimi tunamsifu Bwana na Baba yetu na kwa ulimi huo huo tunawalaani watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu. Katika kinywa hichohicho hutoka sifa na laana. Ndugu zangu, haipaswi kuwa hivyo. Je Chemchem yanaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji machungu? Je ndugu zangu, mtini waweza kuzaa mzeituni, au mzabibu waweza kuzaa tini? Pia haiwezekani chemchemi ya chumvi kutoa maji matamu.
Wakolosai 4:6-Mazungumzo yenu yanapaswa kuwa daima mema na yaliyokolezwa kwa chumvi na ya kuvutia, na mnapaswa kujua jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.
Jinsi Ya Kutumia Ulimi
Kwanza samehe waliokukosea na kuwaomba msamaha uliowakosea(Msamaha una nguvu kubwa sana),Omba toba na msamaha kwa Mungu,jitakase kwa Damu ya Mwanakondoo iliyomwagika pale Calvary. amini jambo fulani linawezekana,liweke moyoni litafakari kwa kina na uliombee ulinzi wa Kimungu(Hapa unatumia Damu Ya Yesu Kristu Mwana Wa Mungu Alietufia msalabani).
Nguvu ya kutawala iko rohoni mwako na kwenye Ulimi-Ukishafanya hivyo unaweza kutamka kwa imani jambo lolote na likawa.
Tuangalie Methali12;18-Maneno ya ovyo hujeruhi kama upanga, lakini asemayo mwenye hekima huponesha kidonda,hapa tunaona nguvu ya Ulimi kujeruhi au kumfariji mtu,kwa hiyo tuchunge sana maneno tunayowatamkia wenzetu.
Methali 18;21-Kifo na UZIMA viko katika nguvu za Ulimi naye anaye upenda atakula matunda yake.
Mathayo18;18-Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni-so kumbe tunaweza kufungua milango yetu ya baraka au kuifunga kwa ndimi zetu wenyewe[emoji848].
Methali 13;3- Achungaye mdomo wake huyahifadhi maisha yake, anayeropoka ovyo hujiletea maangamizi-(Unazidi kuona nguvu ya roho,itakupa hekima ya kunyamaza,na utaona nguvu ya ulimi ukitamka jambo lisilo sawa linaweza kukuletea maangamizi lakini ukiuchunga utaokoka)
Waefeso4;29-Msiruhusu maneno machafu yatoke vinywani mwenu, bali mazungumzo yenu yawe ya msaada ya kuwajenga wengine kufuatana na mahitaji yao, ili wale wanaowasikiliza wapate kufaidika.(Tunazidi kuona nguvu ya ulimi na roho yenye busara ilivyokua na nguvu-roho isiyo na busara hutamka lolote) .
You are the one Who decide Who you want to be, wewe mwenyewe ndo unaamua uwe nani na kwa wakati gani, ni swala la kuamini inawezekana, (Waebrania 11:1 "Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana.")kua na imani na wewe mwenyewe usipokua na imani na wewe mwenyewe unategemea nani atakujengea imani? (Warumi 10:17 yasema "Basi imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la kristo.")
Unaeza kujifunza kujiamini/ kua na imani na wewe mwenyewe, ukiamka asubuhi just go and look at the mirror then ask your self who you see in front of the mirror the answer is you(Amka asubuhi jiangalie kwenye kioo ujiulize unamwona nani jibu ni wewe, so ujikubali jinsi ulivyo na amua kuanzia sasa nataka kua mtu wa aina gani, nataka kufanya biashara ya aina gani, nataka mwenzi wa aina gani, je unapenda familia yako ije iweje, anza kuijenga rohoni, ione katika maono mwombe Mungu hakika utafanikiwa.
Niamini hakuna mtu atakae kuchaguliwa kua mtu wa aina gani isipokua wewe mwenyewe,kwanza binadamu tumeumbiwa wivu na husda,ni watu wachache sana wenye moyo wa kupenda kila anaemzunguka afanikiwe, hata ndugu wa damu wenyewe hawapendani ije kua walimwengu,amka chukua hatua hujachelewa anza sasa kwa kujikubali, ikiwezekana andika kwenye diary yako au kwenye karatasi na bandika mahali ambapo kila ukiamka unaona ulichoandika,mwombe Mungu kwa bidii akusaidie ukamilishe ulichokihaidi, nena unachokitaka hakika utafanikiwa.
Ukitaka kufanya chochote kwenye Dunia hii unamamlaka ya kuamuru kiwe na kikawa,unamamlaka ya kuamuru kiangamie na kikaangamia,tumia Ulimi wako vizuri na ukishakutamka uyaishi matendo hayo.Mfano unatamka nataka kufungua biashara toka nenda kaanze,si unatamka alafu unatulia ndani ukisubiri miujiza utakua hujaishi kwenye maneno yako,ukitaka kuajiriwa toka anza kutuma maombi,tafuta matangazo ya kazi ,pita kwenye maofisi,unataka kusoma tamka na anza kutafuta vyuo.Hakika ukiutumia Ulimi wako vizuri utaishi maisha yenye furaha na Amani. Jitamkie mema na watamkie wanaokuzunguka mema(mpende jirani yako kama nafsi yako) Love your neighbour as you love yourself, na Mungu atakubariki na kupokea maombi yako na kukutimizia matamanio ya moyo wako. Amen[emoji120]
 
NGUVU YA ULIMI.
Mwanadamu ana nguvu kubwa sana ya kumiliki mazingira aliyonayo-Hii ni zawadi kubwa sana kutoka kwa Mungu,tatizo wengi hatujui hii nguvu ya kumiliki na kutawala tutaitumiaje(Power to possess and rule by using Your soul and tongue).Leo nitazungumzia kuhusu ulimi,Ulimi ni kiungo katika mwili wa binadamu ambacho kinasaidia katika kula yaani kutafuna na kumeza-kinasaidia katika uhai kama wote tujuavyo binadamu hawezi kuishi bila kula, unasadia katika kuonja ladha ,hapa inasaidia kujua uzuri au ubaya wa kitu,ili ujue ichi kitu ni kichungu lazima ukionje, unatusaidia katika kuongea- hapa ndo kwenye mamlaka ya kumiliki na kutawala, (POWER TO POSSES AND RULE).
Soma kitabu cha mwanzo1:6-Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.Utaona hapa Mungu Baba alisema na ikawa,si kwamba tunajifananisha na Mungu la hasha,sisi tuliumbwa kwa mfano Wake na akatupa mamlaka ya kumiliki kila kitui chini ya jua na si kiumbe kingine, kwa hiyo Sisi Binadamu tunamamlaka ya kuamuru chochote kifanyike as long as ni wakati sahihi na ni jambo sahihi.
shetani hakupewa mamlaka yeyote mahali popote pale kwa hiyo hana mamlaka juu yetu, Ila Sisi ndo tunamamlaka juu yake(Ufunuo 12:11-Nao wakamshinda kwa damu ya mwana-kondoo, na kwa Neno la Ushuhuda wao; mbao hawakupenda maisha yao hata kufa(Ni vyema ukasoma Ufunuo 12-sura yote ukajua walimshinda nani Kwa Damu ya Mwana-Kondoo) .Kwa hiyo hata sisi tunaweza Kuitumia Damu Ya Mwana-Kondoo na kumshinda shetani. Tumia mamlaka uliyopewa kwa kutamka, mfano toka shetani Kwa Jina LA Yesu Kristu Mwana Wa Mungu Alie Hai, hakika atatoka,kwa kua Jina LA Yesu Kristu Lina Mamlaka na Lina Nguvu.
The tongue is the most powerful part of the human body,its also the most dangerous weapon(Ulimi ni kiungo chenye nguvu sana katika mwili wa binadamu na ni silaha mbaya sana)-Our words have the power to humiliate to hurt, to cut and destroy lives, much more then physical blows knives or weapons.(maneno yetu yana nguvu ya kumuumiza mtu, kukata na kuharibu maisha kuliko kumuumiza mtu kwa silaha) .Vidonda vilivyosababishwa na silaha hupona lakini maneno yaliyojeruhi mioyo huishi milele, kwa hiyo tuwe makini na maneno tunayowatamkia wenzetu, ni vyema ukatafakari jambo kabla ya kulitamka/ kumtamkia mtu-kwa Neno lako moja unaweza ukajenga furaha ya mtu iliyopotea au likamwangamiza mtu.
Yakobo3:9-12- Kwa kutumia ulimi tunamsifu Bwana na Baba yetu na kwa ulimi huo huo tunawalaani watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu. Katika kinywa hichohicho hutoka sifa na laana. Ndugu zangu, haipaswi kuwa hivyo. Je Chemchem yanaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji machungu? Je ndugu zangu, mtini waweza kuzaa mzeituni, au mzabibu waweza kuzaa tini? Pia haiwezekani chemchemi ya chumvi kutoa maji matamu.
Wakolosai 4:6-Mazungumzo yenu yanapaswa kuwa daima mema na yaliyokolezwa kwa chumvi na ya kuvutia, na mnapaswa kujua jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.
Jinsi Ya Kutumia Ulimi
Kwanza samehe waliokukosea na kuwaomba msamaha uliowakosea(Msamaha una nguvu kubwa sana),Omba toba na msamaha kwa Mungu,jitakase kwa Damu ya Mwanakondoo iliyomwagika pale Calvary. amini jambo fulani linawezekana,liweke moyoni litafakari kwa kina na uliombee ulinzi wa Kimungu(Hapa unatumia Damu Ya Yesu Kristu Mwana Wa Mungu Alietufia msalabani).
Nguvu ya kutawala iko rohoni mwako na kwenye Ulimi-Ukishafanya hivyo unaweza kutamka kwa imani jambo lolote na likawa.
Tuangalie Methali12;18-Maneno ya ovyo hujeruhi kama upanga, lakini asemayo mwenye hekima huponesha kidonda,hapa tunaona nguvu ya Ulimi kujeruhi au kumfariji mtu,kwa hiyo tuchunge sana maneno tunayowatamkia wenzetu.
Methali 18;21-Kifo na UZIMA viko katika nguvu za Ulimi naye anaye upenda atakula matunda yake.
Mathayo18;18-Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni-so kumbe tunaweza kufungua milango yetu ya baraka au kuifunga kwa ndimi zetu wenyewe[emoji848].
Methali 13;3- Achungaye mdomo wake huyahifadhi maisha yake, anayeropoka ovyo hujiletea maangamizi-(Unazidi kuona nguvu ya roho,itakupa hekima ya kunyamaza,na utaona nguvu ya ulimi ukitamka jambo lisilo sawa linaweza kukuletea maangamizi lakini ukiuchunga utaokoka)
Waefeso4;29-Msiruhusu maneno machafu yatoke vinywani mwenu, bali mazungumzo yenu yawe ya msaada ya kuwajenga wengine kufuatana na mahitaji yao, ili wale wanaowasikiliza wapate kufaidika.(Tunazidi kuona nguvu ya ulimi na roho yenye busara ilivyokua na nguvu-roho isiyo na busara hutamka lolote) .
You are the one Who decide Who you want to be, wewe mwenyewe ndo unaamua uwe nani na kwa wakati gani, ni swala la kuamini inawezekana, (Waebrania 11:1 "Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana.")kua na imani na wewe mwenyewe usipokua na imani na wewe mwenyewe unategemea nani atakujengea imani? (Warumi 10:17 yasema "Basi imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la kristo.")
Unaeza kujifunza kujiamini/ kua na imani na wewe mwenyewe, ukiamka asubuhi just go and look at the mirror then ask your self who you see in front of the mirror the answer is you(Amka asubuhi jiangalie kwenye kioo ujiulize unamwona nani jibu ni wewe, so ujikubali jinsi ulivyo na amua kuanzia sasa nataka kua mtu wa aina gani, nataka kufanya biashara ya aina gani, nataka mwenzi wa aina gani, je unapenda familia yako ije iweje, anza kuijenga rohoni, ione katika maono mwombe Mungu hakika utafanikiwa.
Niamini hakuna mtu atakae kuchaguliwa kua mtu wa aina gani isipokua wewe mwenyewe,kwanza binadamu tumeumbiwa wivu na husda,ni watu wachache sana wenye moyo wa kupenda kila anaemzunguka afanikiwe, hata ndugu wa damu wenyewe hawapendani ije kua walimwengu,amka chukua hatua hujachelewa anza sasa kwa kujikubali, ikiwezekana andika kwenye diary yako au kwenye karatasi na bandika mahali ambapo kila ukiamka unaona ulichoandika,mwombe Mungu kwa bidii akusaidie ukamilishe ulichokihaidi, nena unachokitaka hakika utafanikiwa.
Ukitaka kufanya chochote kwenye Dunia hii unamamlaka ya kuamuru kiwe na kikawa,unamamlaka ya kuamuru kiangamie na kikaangamia,tumia Ulimi wako vizuri na ukishakutamka uyaishi matendo hayo.Mfano unatamka nataka kufungua biashara toka nenda kaanze,si unatamka alafu unatulia ndani ukisubiri miujiza utakua hujaishi kwenye maneno yako,ukitaka kuajiriwa toka anza kutuma maombi,tafuta matangazo ya kazi ,pita kwenye maofisi,unataka kusoma tamka na anza kutafuta vyuo.Hakika ukiutumia Ulimi wako vizuri utaishi maisha yenye furaha na Amani. Jitamkie mema na watamkie wanaokuzunguka mema(mpende jirani yako kama nafsi yako) Love your neighbour as you love yourself, na Mungu atakubariki na kupokea maombi yako na kukutimizia matamanio ya moyo wako. Amen[emoji120]
[emoji3516]hii imeongezewa nyama, karibuni
 
wanawake na ulimi aisee naomna haiwezekani maana wao wanachojua ni kuchonga tu 24/7
 
Mkuu ubarikiwe sana Kwa Uzi huu, umeniongezea nguzu katika harakati zangu za kutafuta. Mungu akubariki na akupe kipawa Cha kufundisha mengi na mengi zaidi.
 
Back
Top Bottom