Matatizo yetu katika hilo na wakenya hatutofautiani kabisa, tunachotofautiana ni udhubutu na utambuzi wa mambo na jinsi ya kusimamia jambo mpaka lipate suluhishi. Bahati mbaya saana sisi Watanzania tuna madhaifu, tunaweza sana kuongea, kutoa hoja na kupinga vikali pale tunapoonewe, tena wengine anashabikia hata kitu ambacho haelewi source nini mradu tu hicho kitu kinapaka tope serkali. Lakini mambo yote hayo ya hoja, kuongea sana, kupinga vikali yanafanywa sisi kwa sisi - yaani kimbembe ni kumface mhusika na kufanya vile Wakenya wamefanya.
Kweli Wakenya wanastahili pongezi na hio imeonesha kwamba sauti ya majority wakenya ina nguvu na haitaki mzaha!