LGE2024 Nguvu ya Umma: Angalia Jinsi Mgombea wa CHEDEMA anavyosindikizwa na Wanakijiji Wenzake kwenda kuchukua Fomu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tarehe 27 Novemba sio mbali.Tutasikia visingizio kuwa uchaguzi haukuwa wa haki na huru.
Rukeni rukeni sasa hivi ukweli utakapodhihiri hatutaki visingizio.
 
Tarehe 27 Novemba sio mbali.Tutasikia visingizio kuwa uchaguzi haukuwa wa haki na huru.
Rukeni rukeni sasa hivi ukweli utakapodhihiri hatutaki visingizio.
Ukiiba kura utadhibitiwa kwa kibano kikali cha Wananchi
 
Ukiiba kura utadhibitiwa kwa kibano kikali cha Wananchi
Wewe endelea kuota.Angalia tu usijinyee.JF itaendela kuwepo na mtaendelea kuandika ujinga wenu na visingizio kibao.
 
Kuna msemo unasema “Wajumbe Sio watu”

Kumbuka Kura ni SIRI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…