Kibona Dickson
Member
- Feb 13, 2011
- 37
- 14
Wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm kwa pamoja na kwa kutumia nguvu ya umma,wamefanikiwa kuulazimisha utawala wa chuo kubadili maamuzi yake ya kuwasimamisha wanafunzi zaidi ya 40 kutokana na maandamano yaliyofanyika mwezi novemba 2011.Wanafunzi hao wamerudishwa chuoni kuendelea na masomo kama kawaida.Ushindi huu ni matumaini makubwa katika kupigania haki zetu.hakuna kulala mpaka kieleweke.
Hivi unajua maana ya nguvu ya umma au unaropoka tu!
ritz hebu twambie maana ya hizi keywords. nguvu na umma. then uendelee kuchangia.
Hivi unajua maana ya nguvu ya umma au unaropoka tu!
ritz hebu twambie maana ya hizi keywords. nguvu na umma. then uendelee kuchangia.
Nguvu ya umma maana yake CHADEMA... uliza swali lingine
Hivi unajua maana ya nguvu ya umma au unaropoka tu!
Mfano wa nguvu ya umma nadhani umeuona Misri, Tunisia, Yemen, Syria, kama ni mfuatiliaji wa habari utakuwa unajua maana nzima ya nguvu umma..
Hayo maandamano ya chuo kikuu cha Dar es Salaam tuliyaona kwenye vyombo vya habari..
Polisi walipiga mabomu matatu tu hiyo nguvu ya umma mnayoisema yote ilisambaa kwa kasi ya ajabu..
Baadhi ya wanafunzi waliokamatwa waliishia kulalamika tu, huku wakishutumu jeshi la polisi eti limetumia nguvu nyingi..
Je kama wangetumia silaha nzito sijuhi wangesemaje!

Unafahamu evolution ya Nguvu ya UMMA?
Hata siku moja huwezi kuwa na wabunge 23 Tanzania nzima halafu useme una nguvu ya Umma hizo zitakuwa akili za kunguru mgonjwa!
Mbona hayo maguvu ya Umma sijayaona kwenye ule Mswada matokeo yake mkafyata mkia mlipokwenda pale magogoni.?Nguvu ya umma maana yake CHADEMA... uliza swali lingine
Id name yako inaonyesha jinsi MAFISADI walivyokufanya,pole sana maana hujui ukifanyacho na ukifikiriacho.Mbona hayo maguvu ya Umma sijayaona kwenye ule Mswada matokeo yake mkafyata mkia mlipokwenda pale magogoni.?