mdoe the thinker
Senior Member
- Dec 11, 2012
- 104
- 20
Kwahiyo?unataka tukule denda au?kwani kunaambae sio cdm hum jamvini?ukiwa mgen piga kimya ucheki makamanda wanavyo lisongesha eboo!
Kwahiyo?unataka tukule denda au?kwani kunaambae sio cdm hum jamvini?ukiwa mgen piga kimya ucheki makamanda wanavyo lisongesha eboo!
Karibu sana jf.
Karibu jamvini mwanachadema, lakini hili ni jamvi la Watanzania wote. Waliokuwa na vyama na wasiokuwa na vyama. Karibu sana.