Nguvu za kiume Janga la kitaifa

Nguvu za kiume Janga la kitaifa

Joined
Mar 14, 2014
Posts
90
Reaction score
6
JANGA LA KITAIFA WAZEE KWA VIJANA

ERECTILE DYSFUNCTION (ED)/ UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....

SABABU
*Kuna sababu nyingi hupelekea tatizo hilo kwa wanaume ikiwemo:-

-Aina ya vyakula( junk food na high cholesterols contain foods).
-Unene kupita kiasi (Obesity)
-Msongo wa mawazo/ Stress
-Ulevi wa pombe kupita kiasi
- Uvutaji sigara kupita kiasi
-Maradhi mf. Kisukari na presha
-Upungufu wa hormones(testesterone)
-Baadhi ya madawa hasa ya muda mrefu.
-Radiationz (Mionzi) n.k

SOLUHISHO

*Epuka msongo wa mawazo
*Fanya mazoezi
* Rekebisha diet (90% ya suluhisho liko hapa). Ntaongelea hii kwa upana.

REKEBISHA ULAJI

-Wataalamu wanashauri ulaji wa vyakula hivi kupambana na tatizo hilo:-

MBOGA ZA MAJANI( LEAFY GREEN VEGETABLE)
- Mfano spinach inaongeza mzunguko mzuri wa damu mwilini sababu ina kiwango kikubwa cha nitrates inayoruhusu mishipa ya damu kufunguka na kuruhusu damu kuflow kwa wingi. Dawa nyinyi za ED pharmacy zinatumia mfumo huo wa nitrate.

DARK CHOCOLATE
-Ina flavonoids ambazo zinasaidia mzunguko wa damu kusaidia jogoo awike vizuri. Pia flavonoids ni antioxidants hukinga cancer, kupunguza high blood presha na kuondoa cholesterol ktk mishipa ya damu ambayo ni sababu moja wapo ya tatizo.

NUTS(asili ya Karanga au korosho).
- Wanaume ambao hula karanga mbichi au korosho kila siku kwa muda wa mwezi mfululizo wataona tofauti ktk maswala mazima ya tendo la ndoa ikiwemo jogoo kuwika, hamu na kuridhika. Hii ni kutokana na nuts zina protein iitwaje arginine inayosaidia kurelax kwa mishipa ya damu.

PWEZA NA SHELLFISH WENGINE.

- Wana madini mengi ya zinc inayosaidia kwa kiwango kikubwa kutengeneza kwa hormone ya testesterone. Iwapo hormon hyo itapungua itakuletea tatizo.
-Raw shellfish wana vitu ambavyo vinasaidia utolewaji wa homon za kijinsia kwa wanaume na wanawake.

MATIKITI MAJI (WATER MELON).
-Haya yanafanya kazi kama viagra, yanaongeza hamu. Faida yake ni kurelax mishipa ya damu inayopeleka damu ktk uume. Japo tikiti 92% ni maji, hizo 8% zinasaidia afya ya moyo na kutoa raha ktk tendo la ndoa.

JUICE YA NYANYA NA ZABIBU.
-Hizi zina lycopene ambayo ni moja ya phytonutrient inayosaidia mzunguko wa damu. Tafiti zinaonyesha lycopene hizo hutumika vzr na mwili ikiliwa na nafaka kamili, na mafuta ya mimea km avocado(parachichi) au spinach.
Pia lycopene hizo husaidia kuzuia utasa na kansa ya kibofu cha mkojo( prostate cancer)

Kutokana na ugumu wa kupata vyakula hivyo kwa kiwango sahihi coz wakulima wanachakachua kwa kutumia mbolea za kemikali kali.

Bodi ya wanasayansi(SAB) wakashauri kila mwanaume kutumia virutubisha hivi kwa afya yake kulinda usipate tatizo hilo au kutibu kabisa km unalo:-

-TRE.EN.EN (ina mafuta ya nafaka kamili).
-CARETONOID COMPLEX (ina lycopenes za kutosha, spinach, nyanya na parachichi)
-FLAVANOID COMPLEX ( Ina flavanoids na mazabibu).
-CHILATED ZINC (ina madini ya zinc ya kutosha)
- Omega 3 salmoin oil plus ( kuondoa cholesterol na kushusha presha)
-VITAMIN E ( Antioxidants kusaidia mzunguko wa damu kwa kuifanya iwe nyepesi)
-MASCULINE HERBAL( Kubalance hormones kama testesterone).
-NUTRISHAKE ( Ina protein zote muhimi ikiwemo arginine).

Kwa ushauri na maswali kwa ndugu na rafiki zako wape namba hii:-
0766789288
MD(Muhimbili)
 
Back
Top Bottom