Mnafiki mkubwa, mbabaishaji na msanii mkuwa wewe. Upewe nafasi tena? Tuliyokupa 2005 ulitumiaje? Unataka kutuangamiza watanzania sio? Ili uwe na rekodi ya Rais aliyeongoza nchi kihuni, lakini ukaendelea kupigiwa makofi? Ni wajinga tu kwa sababu hawajui wanalofanya. Wangejua, badala ya kukupigia makofi wangelia na kukuzomea.
Miaka mitano inakutosha, tumekwishafuhamu kuwa ni mbabaishaji, huna lolote. Mwaka huu HATUDANGANYIKI. Hupati kura zetu na za watu makini. Ila za wahuni wenzako zimendee. Hukooooo.