elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Old times, keeping good music alive
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mziki wa siku hizi hauishi yani salome ikipigwa unaweza zima redio, lakini ikipigwa unaniacha hoi- ya langa (rip), witness & shaa unaburudika.Kabisa, yaani siku hizi tunasikiliza sehemu kubwa ni kelele
Old times, keeping good music alive
Pfunky na bang zake hakumtoa nduki maana nasikia alikuwa na tabia ya kufukuza watuKatika kipindi ambacho P FUNKY ilikua humwambii kitu kuhusu hip hop mara paaa mzee nguza na gitaa lake huyo anataka kurekodi na vijana wa kileo... Tena remix ya wimbo kama ule? ..P akaweka bangi pembeni na kupiga kazi . . Ulamaa akaambiwa atulize akili asiharibu hadhi ya mzee Nguza.. aagh huu mziki kina P waliufanya kwa mapenzi bana.. sikiliza biti hapo sikiliza gitaa msikilize ulamaa Solo anavyoenda na gitaa..the old good days