๐น๐ฟ 4PILLARS OF BUSINESS( NGUZO 4 ZA BIASHARA)
๐ Leo naomba tuamke na hii๐๐ฝ๐๐ฝ: Takwimu za benki kuu ya dunia zinaonyesha kuwa watu walio na mafanikio makubwa sana ni wafanya Biashara.
Ukitaja Matajiri 1000 duniani wote ni wafanya Biashara๐๐
๐ค Tukubaliane nalo hilo.
๐ง Ili kitu chochote kiweze kuwa imara lazima kiwe na nguzo Nakupa mfno wew hapo bila wazazi wako usingefikisha ndoto zako kama huamini angalia wenzako ambao walikuwa bila wazazi wao angalia maisha yao ama waulize kama wametimiza malengo yao hivyo basi wazazi ni nguzo ya muhimu sana.
๐ง Kama nilivyo tangulia kusema kila kitu kipate kufanikiwa lazma kiwe na nguzo.
โ๐ฟBiashara yoyote ile lazima iwe na nguzo hata kama unauza nyanya lazima iwe na nguzo kuu 4.
(A) UZALISHAJI ( KUWA NA BIDHAA)
๐๐ฝ Hii ndo nguzo ya kwanza ambayo inaanza kwanza kuwa na bidhaa ' bidhaa zenyewe zizingatie mahitaji ya watu ๐ค Usianzishe biashara ambayo haizingatii mahitaji ya watu hakikisha unakuwa na bidhaa ambayo, ina tatua shida za watu, ina ubora ,inaendana na thamani ya pesa unayo itoza
โก Soma makala ya hatua ya kuanzisha biashara kipande hiki kimechambuliwa vyema.
NAKUPA SWALI HIVI NI KAMPUNI GANI HAPA TZ NA NJE AMBAYO HAITOI BIDHAA?
Kama una ndoto za kuwa mfanya Biashara kwanza anza kuitafuta bidhaa( kuna njia mbili za kuitafta bidhaa nzuri)
(B) KUWA NA WAKALA:
๐ง Hakikisha una kuwa na mtu ambaye ataielezea biashara yako nje ya wwe ulipo, watu wengi wa nadhani kuwa na mawakala ni lazima uwe na kampuni kubwa hapana hata duka tu unaweza kuwa na mawakala.
๐๏ธ Nakupa mfno mdgo sana Mimi Nina duka dar-es salama ( la bidhaa za dukani) huwa nawatumia watoto kama mawakala wangu , huwa Naweka mkebe wa pipi ambao mtoto yoyote akija dukani kwangu kununua nampa pipi, pengine na watu wazima huwa nawapa ( kinacho tokea huwa wanaenda uko wana ambiana kuwa pale kuna kitu Fulani ko huwa najikuta nafanya mauzo makubwa mno )
๐๐ฝ wakala unamlipa Mimi nawalipa pipi , pipi hazinipi hasara make huwa naenda kariakoo na nunua pipi za sh 10.( nikinunua mkebe una pipi 100 ) make hao ni wateja 100 kwa siku make washazoea๐๐๐
Vipi wewe mfanya Biashara kama yangu una wateja 100 kwa siku japo kwangu wanazidi , ila chanzo ni pipi tu.
Kuwa na mawakala haijalishi unafanya biashara ya aina gani ( kuna njia 5 za kutengeneza mawakala.)
( C) MATANGAZO
๐๐ Usifanye biashara bila matangazo ,usifanye biashara bila matangazo
Nakupa mfn tigo ,vodacom, bakhersa na wengineo huwa wanaghalamikia zaidi ya milioni 800 kwa ajiri ya kulipia matangazo.
Ukifanya Biashara bila matangazo ni sawa na kuizika biashara yako.
โผ๏ธ Hakikisha watu wa najua Biashara yako unayo ifanya make watu wakijua ndo watakuja kununua ( information is power) taarifa ina nguvu kubwa sana ktk biashara ( kuwa makin unapo tangaza biashara yako ustangaze bidhaa tangaza kinacho patikana kutoka kwenye bidhaa ukitangaza bidhaa utawapata wachache )
๐๐ฝ๐๐ฝ Nita andaa makala nzuri inafundisha uandaaji wa matangazo
( D) WATEJA
๐๏ธ Huwezi anzisha biashara bila kuwa na wanunuzi ,lazima utambue wanunuzi wako ni akina nani, wana hali gani ya uchumi, wataka bidhaa za ubora gani, je wanachukia nini! Na mambo mengine mengi.
Kabla ya kuanza Biashara zingatia nguzo za biashara.