Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Vipi hivyo ambavyo nimesema havipo? Kama ni hiyo Universe, ipo na lengo la uwepo wake sio kuombwa wala kuabudiwa.Umethibitisha vipi kuwa havipo? Na Mungu yupo?
Kwani mtoa mada kasema kipi apo kinaombwa na kuabudiwa?Vipi hivyo ambavyo nimesema havipo? Kama ni hiyo Universe, ipo na lengo la uwepo wake sio kuombwa wala kuabudiwa.
Nikisema haujaelewa mada nitakua nakosea?Vipi hivyo ambavyo nimesema havipo? Kama ni hiyo Universe, ipo na lengo la uwepo wake sio kuombwa wala kuabudiwa.
Mtoa mada kaleta uzi mzuri sana, unafundisha mengi yaliyo ya muhimu. Mimi nimekumbusha tu kwamba Manifestation Sahihi ni kwa Mungu na sio kitu kingineKwani mtoa mada kasema kipi apo kinaombwa na kuabudiwa?
Swali fikirishi kwanini hao tunaodhani ni wasomi wazuri huahirisha kufikiri Kwa nafsi wakipewa dhamana, (human herding). Human herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and fear 😨 of their leadersWanabodi,
Nipashe ya Leo 16/06/2024
View attachment 3018955
NGUZO 7 ZA MANISTATION
Hili ni bandiko mwendelezo wa wiki iliyopita. Kama hukulisoma bandiko la kwanza, anzia hapa Siri ya Mafanikio Kupitia Manifestation -1: Manifestation ni Nini?
Kwa wasomaji wapya, wiki iliyopita niliintruduce topic ya kitu kinachoitwa manifestation, kwa lugha rahisi ni kuweka nia na kudhamiria kwa dhati kufanikiwa, kwa kutumia nguvu za nia, zilizomo ndani yako. Nikataja manifestations ina nguzo kuu 7.
Nguzo kuu ya kwanza ni Foundation: Msingi mkuu wa Manifestation ni nia na imani ya kufanikiwa.
- Foundation: Msingi wa Manifestation
- Laws: Sheria za Manifestation
- Vibrations:Mitetemo ya Manifestation
- Intention: Kuweka Nia
- Visualization: Kuona kwa jicho la ndani
- Affirmations: Kutumia Imani Chanya ya Kufanikiwa
- Process: Utekelezaji wa Manifestation.
Kuna makundi makuu 5 ya watu waliofanikiwa.
1. The Inheritors: hawa ni watu waliozaliwa kwenye familia tajiri, wafalme na matajiri, na viongozi, mtoto wa familia hii anazaliwa na kujikuta amerithi utajiri, hata kama kichwani ni zero, huyu atahesabika amefanikiwa.
2. The Best Brains: Hawa ni watu wenye akili nzuri, wasomi, wataajiriwa kazi nzuri, na kulipwa mishahara, hivyo kupata maisha ya mafanikio, kundi hili ni la waajiriwa.
3. The Best Talent: Hili ni kundi la watu wenye vipaji, wanamuziki, wasanii, waigizaji, wacheza mpira, au watu wenye vipaji vyovyote vinavyowaletea maisha mazuri, wakiwemo waandishi wa habari, watangazaji, etc. Mwanamuziki Michael Jackson, hakusoma hata darasa moja!, huyu Daimond Platnum wetu, Hamonise ni darasa la saba tuu lakini wamefanikiwa kutokana na vipaji.
4. The Hard Workers: Wafanyakazi kwa bidii, hawa ni working class, ukifanyakazi kwa bidii, utafanikiwa, hili ni kundi la wanaofanikiwa kwa kutumia nguvu zao, “mtaji wa masikini ni nguvu zake”.
5. Fixers: Hili ni kundi la mwisho la wapiga domo!, humu ndio kuna wanasiasa, wanaweza wasiwe best brains, hawana talent yoyote, sio hard workers, lakini wanafanikiwa kwa kupiga deals, fix na kupiga domo.
Makundi yote hayo yanafanikiwa kwa kufanya manifestation kwa kujua au bila kujua.
Lugha nyingine ya manifestation is “making your dream come true”, kufanya ndoto yako kuwa kweli.
Msingi mkuu wa manifestation ni nia na imani ya kujiamini kuwa wewe una powers ndani yako na una uwezo wa kufanikiwa, kwa kutumia mawazo yako kutia nia ya kuzifungulia hizo powers zilizomo ndani yako zikuletee mafanikio ya kupata kitu unachokitaka
Manifestation ni kutumia the power of mind, through positive thinking to open the energy stored in your subconscious mind, ikupe chochote unachokitaka. Watu wote wenye mafanikio wanatumia manifestation kwa kujua au kutokujua, ila siri kuu ya kwanza ya mafanikio, ni kuwa na ndoto, wazo, nia, kisha kuifanyia kazi hiyo ndoto.
Kuna wengi wana mawazo mazuri tuu ya maendeleo, na kusema nikiwa mkubwa nataka kuwa pilot, daktari, polisi, tajiri, lakini wazo hilo linaishia hewani, kwasababu haulifanyii kazi. Ili uweze kufanikiwa, ni lazima ufanyie kazi ndoto yako. Kuota tuu ndoto ya unataka kuwa tajiri, halafu hauifanyii kazi hiyo ndoto, inaitwa ni “day dreaming”, yaani yaani kuota ndoto ya mchana, kama ile hadithi ya ndoto ya Alinacha kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela.
Kwenye Nguzo 7 za Manifestation, Nguzo ya kwanza ni Asili ya Manifestation
Kuna wengi wanadhani manifestations ni jambo jipya, hapana, manifestation ni jambo la enzi na enzi toka enzi za Masiha, alifundisha “ombeni mtapewa", "tafuteni mtapata", "bisheni hodi, mtafunguliwa”, na akasema “hata ukiwa na imani ndogo kama chembe ya haradali, unaweza kuiambia milima iondoke na milima ikahama”.
Kitu kinachoitwa meditation, tafakuri jadidi au tahajudi, ni manifestation. Wakati wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Waislamu, wanatakiwa kunuizia kufunga kila siku kuwa kesho nitafunga. Kitendo cha kunuizia ni manifestation. Wakatoliki hufanya sala za novena ni manifestation. Sala za kujirudia rudia kama rozari ni manifestation, sala za tasbihi ni manifestations.
Mara nyingi enzi za ujana maji ya moto, mvulana akimuona msichana, akampenda, akadhamiria kumpata, hufanya juhudi mbalimbali, ili kumpata, hivyo kutumia manifestation bila kujijua, ila mwisho wa siku, hufanikiwa.
Ili kupata mafanikio kwenye jambo lolote, lazima kwanza, uwe na ndoto ya kufanikiwa, ndoto hiyo ni kuwa na mawazo chanya, kwa kizungu, “positive thinking”. Mawazo chanya haya yanakuwa yana nguvu ndani yake, inayoitwa “the power of positive thinking”. Kisha uweke nia thabiti na ya dhati ya kufanikiwa, tatu ufanye juhudi na bidii kulifanikisha hilo jambo lako. Ile power au nguvu iliyomo ndani yako, itafungua milango ya mafanikio, na utafanikiwa.
Kuna watu wanadhani kuna watu wana bahati tuu ya kufanikiwa na wengine wana laana ya umasikini, hapana!, Mungu alituumba binadamu wote tufanikiwe, ila kuna kanuni za mafanikio, ukizifuata na kuzipatia, ni lazima utafanikiwa.
Wiki itajayo nitakuletea nguzo ya pili ya manifestation yenye sheria 12 za mafanikio kupitia manifestation ambazo ukizifuata kikamilifu, utafanikiwa.
Paskali
Mada nimeielewa, na aliyo yasema mengi nimeyafahamu muda tu hata kabla ya kuyasoma hapaNikisema haujaelewa mada nitakua nakosea?
We una ufahamu wa haya mamboMada nimeielewa, na aliyo yasema mengi nemeyafahamu muda tu hata kabla ya kuyasoma hapa
Naelewa hayo mambo, na bado najifunza kila siku kuhusu Energy, Frequency and vibration.We una ufahamu wa haya mambo
Vibration
Manifest -manifestation
Frequency
Bubble
Visualization
Vision board
Unaelewa haya mambo?
Asante kwa elimu nzuriWanabodi,

Mungu ni yupi ambae unahisi kichwani mwako kila mtu anatakiwa afanye hiyo manifestation kwake?Mtoa mada kaleta uzi mzuri sana, unafundisha mengi yaliyo ya muhimu. Mimi nimekumbusha tu kwamba Manifestation Sahihi ni kwa Mungu na sio kitu kingine
Hapana, kila mtu ana uhuru wa kuchagua njia yake.Mungu ni yupo ambae unahisi kichwani mwako kila mtu anatakiwa afanye hiyo manifestation kwake?
Unafikiri hata wewe na muumini mwenzako mnaye soma kitabu kimoja cha dini imagination ya Mungu vichwani mwenu ni moja?Hapana, kila mtu ana uhuru wa kuchagua njia yake.
Hilo sijui kabisa, siwezi ingia kichwani kwa mtu na kujua imagination yake.Unafikiri hata wewe na muumini mwenzako mnaye soma kitabu kimoja cha dini imagination ya Mungu vichwani mwenu ni moja?
Upo sawa kabisa , nafikiri umeshajijibu mwenyewe .Hilo sijui kabisa, siwezi ingia kichwani kwa mtu na kujua imagination yake.
Sawa Mkuu, nimekujibu vyema kabisa. Kama una swali lingine niulize, au mimi nikuulize?Upo sawa kabisa , nafikiri umeshajijibu mwenyewe .
UlizaSawa Mkuu, nimekujibu vyema kabisa. Kama una swali lingine niulize, au mimi nikuulize?
Huyo jamaa apo kwenye Avatar yako anaitwa nani? Naonaga tu picha zake ila simfahamuUliza
Anaitwa John DeppHuyo jamaa apo kwenye Avatar yako anaitwa nani? Naonaga tu picha zake ila simfahamu
Ni actor?;Anaitwa John Depp