Nadhani positive Energy ipo na nguvu kubwa ndiyo maana hapo mistari ya vibration Ina vibrate kwa kiasi cha juu.
Negative Emotions Zina mistari dhaifu, ambayo haina vibration kubwa, hivyo humfanya mtu kujihisi vibaya na kupoteza confidence ndani yake
Ni kweli kabisa, Positive Energy ndizo humfanya mtu kuwa na uwezo wa kustahimili na kuhisi vizuri.So Maisha yanatawaliwa na Energy zaidi ndo maana ni ngumu Sana kumkuta MTU ambaye yupo well successful akachukia watu, kulalamika kulaumu Sana mchoyo , mzinzi n.k
Ni kweli kabisa, Positive Energy ndizo humfanya mtu kuwa na uwezo wa kustahimili na kuhisi vizuri.
Mfano Love, Freedom, na Acceptance.
Nimeshawahi, mwanzo nilibobea katika kitu kinaitwa Universe, nikawa natumia namba 3,6,9 yani kutamka asubuhi mara tatu, mchana mara sita na jioni mara tisa.Uhakika mkuu je umeshawahi kufanya manifestation katika kupata jambo Fulani?
Nimeshawahi, mwanzo nilibobea katika kitu kinaitwa Universe, nikawa natumia namba 3,6,9 yani kutamka asubuhi mara tatu, mchana mara sita na jioni mara tisa.
Lakni niligundua hiyo siyo njia sahihi na nilikuwa napotea, ndipo nikaacha na kubaki na njia ya kufanya Manifestation kwa lengo la kumuomba Mungu tu na sio kitu kingine.
3,6,9 inaweza kuleta matokeo, kama ambavyo kutumia nguvu za giza kunavyo leta matokeo.Ukiondoa Doubt hata hiyo 3.6.9 inakuletea majibua maana Inge sink katika subconscious mind .
Hata faith kwa mungu unabidi usiweke doubt yoyote we Amini then fanya kazi kwa unachokiendea.
View attachment 3019157
Mkuu tujadili maudhui yaliyomo katika hii picha, unadhani mpangilio huo wa Emotions Upo sawa, au kuna Emotion imesahaulika.
Mtu anaweza kuwa tajiri wa kutisha ila akawa na hizi hisia haribifu pia.Jiulize wewe kati ya hisia mbaya na hisia nzuri zipi huwa zibakutawala sana?
Ili utawaliwe na hisia chanya lazima uwe na ufahamu wa juu hasa katika kuwa open mindset na kuelewa kwa kina kuhusu emotions Wave
Positive energy Ina nguvu Ila wanaofanikiwa kupata positive energy ni watu wachache wenye ufahamu
Mfano ukishukuru -hiyo ni positive energy
Ukisaidia MTU hiyo ni positive energy
Ukiwa positive dhidi ya watu hiyo ni positive energy
Sasa katika maisha yetu yenye negativity hasa huku bongo
Anaamka analalamika
Anakosoa
An at u kana
Hapendi watu
Hapendi kusaidia ndugu zake na watu wengine.
Anafanya umbea n.k.
So Maisha yanatawaliwa na Energy zaidi ndo maana ni ngumu Sana kumkuta MTU ambaye yupo well successful akachukia watu, kulalamika kulaumu Sana mchoyo , mzinzi n.k
Mtu anaweza kuwa tajiri wa kutisha ila akawa na hizi hisia haribifu pia.
Kanuni za kimaambile hazijalishi kama una amin au auamini Mungu,hizi ni kanuni za kawaida tu sema Africa wengi hatuna ufahamu nazo ila zinatenda kazi kila siku.3,6,9 inaweza kuleta matokeo, kama ambavyo kutumia nguvu za giza kunavyo leta matokeo.
Lakni bado sio njia sahihi hususan kwa mtu kama mimi ambaye nina imani juu ya Mungu.
Kuna kitu kinaitwa Law of rhythm, yani Kama mwanadamu hatuwezi kuwa na balance katika Energy, leo tunapanda kesho tunashuka, misimamo yetu inayumba kwa wakati.Mtu anaweza kuwa tajiri wa kutisha ila akawa na hizi hisia haribifu pia.
Hizi kanuni nilizisoma na hata kitabu nilinunua, lakini mwisho wake zinahusisha kutegemea nguvu ingine tofauti na Mungu. Na hapo ndipo kwa mtazamo wangu naona sio sahihi.Kanuni za kimaambile hazijalishi kama una amin au auamini Mungu,hizi ni kanuni za kawaida tu sema Africa wengi hatuna ufahamu nazo ila zinatenda kazi kila siku.
Kanuni za kimaambile hazijalishi kama una amin au auamini Mungu,hizi ni kanuni za kawaida tu sema Africa wengi hatuna ufahamu nazo ila zinatenda kazi kila siku.
Dhana ya Mungu yenyewe inategemea uwepo wa kanuni za kimaumbe ili ifanye kazi sasa apo ni wewe kuchagua mbwa au mwenye mbwa .Hizi kanuni nilizisoma na hata kitabu nilinunua, lakini mwisho wake zinahusisha kutegemea nguvu ingine tofauti na Mungu. Na hapo ndipo kwa mtazamo wangu naona sio sahihi.
Mkuu, naomba nikuulize swaliDhana ya Mungu yenyewe inategemea uwepo wa kanuni za kimaumbe ili ifanye kazi sasa apo ni wewe kuchagua mbwa au mwenye mbwa .
Ila pia mimi naamini bidii ndio huonyesha ndani yako ni kweli una imani na unachokiamini, nayo pia ni kanuni ya kimaumbile , auwezi kuwa una amini utanunua gari then unajenga nyumba unaweka geti la kupita baiskel apo imani itakua imepishana na matendo na tayari upo negative.Waafrica wanaamini katika njia ya Bahati na kufanya kazi kwa bidii
Ukienda kariakoo wahindi hufungua maduka saa tatu kuelekea sannne na hufunga maduka jioni mapema Ila wanaishi vizuri na pesa inamwagika.
Ila sisi black hatulali tunakesha usiku mzima na bado maisha yanatuchakaza vibaya Sana.
Hizi hard work ni story tu Ila in fact success lazima iwe supported with universe
Uliza mkuuMkuu, naomba nikuulize swali
Kuna tofauti kati ya Manifestation na Law of attraction? Au vyote ni sawa?Uliza mkuu