Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Salam Wakuu,
NImepita maeneo hayo asubuhi hii moja ya nguzo inayotoa umeme kwenye transfoma hiyo inatoa mlio ule wa kama kuna shoti. Wenyeji wanasema hali hiyo imeanza toka toka jana mchana lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika.
TANESCO fanyeni hima kushughulikia suala hili lisije likaita tukaanza kuongea mengine wakati mlikuwa na nafasi ya kuwahi mapema na kushughulikia changamoto hiyo.