Nguzo ya umeme kupita katika kiwanja changu!!

Wewe si ni gamba watakutetea magamba wenzako.


swissme
 
Mtafute Luku - V akusaidie, maana huo umeme ukishapita hapo huruhusiwi tena kujenga
 
Nenda kwny mikutano ya kampeni kuna wagombea wanatafuta vitu kazi za kuwafanyia wapiga kura fastaaa hilo guzo litatolewa
 
Pole sana mwanajf sasa fanya hivi tuma weka picha ya eneo la tukio pia elezea jinsi barabara ya mtaa ilipo pia toa njia mbadala ambayo unayemtuhumu angeweza kutumia.hiyo kitu inaitwa easement kwa maana haki ya kutumia ardhi ya mtu mwingine .ila kuna mazingira ya kisheria yamewekwa ili uweze kufaidika na haki hiyo.nasubiri majibu yako ili niweze kufafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…