Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Well said 😎.
Lugha ni kimasaiMkimaliza kujadili hii naomba mniambie ile chorus iliyoimbwa kwenye wimbo wa Nako 2 nako featuring LOON ilimaanisha nini na ni lugha gani
BayeyooMkimaliza kujadili hii naomba mniambie ile chorus iliyoimbwa kwenye wimbo wa Nako 2 nako featuring LOON ilimaanisha nini na ni lugha gani
She got a gwan ni msemo wa kijamaica ukimaanisha she looks great"Tukianzia uzuri tu
She got a gwan
Tabia, heshima, ndio huyo doo
She got a gwan
Mpaka kwa ma sista doo oh yeah
Nabaki tu kusema ooh
She got a gwan
Tukianzia uzuri tu
She got a gwan
Tabia, heshima, ndio huyo doo
She got a gwan
Mpaka kwa ma sista doo oh yeah
Nabaki tu kusema ooh
She got a gwan"
Gwan ni uaraza"Tukianzia uzuri tu
She got a gwan
Tabia, heshima, ndio huyo doo
She got a gwan
Mpaka kwa ma sista doo oh yeah
Nabaki tu kusema ooh
She got a gwan
Tukianzia uzuri tu
She got a gwan
Tabia, heshima, ndio huyo doo
She got a gwan
Mpaka kwa ma sista doo oh yeah
Nabaki tu kusema ooh
She got a gwan"
Hapa umetupiga 😄She got a gun