Sinza kumejaa mashoga except MANSU-LINaona umekuwa inspired na mjadala wa Twitter wa wale watafuta attention.
Anyways Mangwea ndio msanii namba moja wa rap wa muda wote hapa Tanzania. Kwa mujibu wangu mimi mbobezi wa muziki wa kibongo.
Talent yake haijawai kuwa na mfano.
Tunachomekea. Sema alikuwa mkali ila sifa nyingi zinachangiwa na mahaba tu. Wajua watanzania wanaweza kupenda na kukuchukia with no reason.Nje ya mada
Wakati Ngwea anaandika kiuno ya TID I was there, kila alichokuwa anafanya ni maajabu tu. Kuanzia idea ya beat, lyrics mpaka kumdirect mnyama.Sinza kumejaa mashoga except MANSU-LI
Maajabu gani sasa kuhusu iyo nyimbo?Wakati Ngwea anaandika kiuno ya TID I was there, kila alichokuwa anafanya ni maajabu tu. Kuanzia idea ya beat, lyrics mpaka kumdirect mnyama.
Nafikiri wakati huo bado ulikuwa kwenu biharamulo unapalilia migomba.
Wewe sio wa mjini kuna unyama huwezi kuuelewa. Unajaribu tu kufit inMaajabu gani sasa kuhusu iyo nyimbo?
Yes alikuwa mzuri kwenye flow ila alizidi kujisifia sana kisa mtoto wa kishuaUkweli Langa Kileo alikua bora Lyrically n Flow kuliko Ngwea
"Watoto wa uswazi hawana matumaini, ndoto zao ni ujambazi sababu ya umaskini.
Wakazi mwenzako anateseka twitter huko. Sijajua umri wako ila kwangu Ngwair yupo kwenye top 5 yangu ya mda wote na kwa upande wa freestyle kwa kifupi hajapatikana wakuvaa kiatu chake,Ngwair ana uwezo wa kuflow hata kwenye biti ya mdundiko na akatoa hits.Ana uwezo wa kuimba nyimbo zote zenye ujumbe na za bata.Habari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Jamaa kawa inspired na tweets za Wakazi inaonekana ni shabiki wa talentless Wakazi 😂😂😂Wakazi mwenzako anateseka twitter huko. Sijajua umri wako ila kwangu Ngwair yupo kwenye top 5 yangu ya mda wote na kwa upande wa freestyle kwa kifupi hajapatikana wakuvaa kiatu chake,Ngwair ana uwezo wa kuflow hata kwenye biti ya mdundiko na akatoa hits.
Wanachomfanya huko twitter hadi huruma kuna clip yake moja alikuwa yupo times fm mtangazaji anamwekea biti halafu anamwambia tupe freestyle Wakazi anadai "leo sijajiandaa kwa freestyle.........." 😂😂😂😂Jamaa kawa inspired na tweets za Wakazi inaonekana ni shabiki wa talentless Wakazi 😂😂😂
Sio kweli ,Kuna ile mtu anakua maarufu na kupata sifa zaidi baada ya kifo chake. Nadhani ndo iyo imemkuta Ngwair
Point ya mtoa mada iko hapa, anaumia sana Jiwe linavyokaangwa daily.Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.A.K.A MIMI hiyo ni album bora ya muda wote ya Albert mangwea kulikuwa na hit songs zilizobamba kipindi iko
1-ghetto langu
2-skiliza jide ft fa
3-she got gwan
4-weekend
5-mikasi
6-bado nimo ft TID
7-kimya kimya
Najua ipo siku utakuja kumlinganisha p funk majani/master j na akina s2kizzy/laizer
P Diddy/jay z/nas/Eminem wawe maarufu mpaka sasa halafu Tupac asiwe maarufuKWA zama zile sio sasa.
Ni kama ambvyo tupac asingeweza kuwa maarufu sasa