Kizazi cha 2000 huyo hawezi kuelewa hizo vituKuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Umaarufu wa ulegend na sio watoe nyimbo zi hit.P Diddy/jay z/nas/Eminem wawe maarufu mpaka sasa halafu Tupac asiwe maarufu
Nipe deal na akapewa na likaondoka naye.Ngoja kwanza nikasikilize "Nipeni dili masela". The song which was produced by Dunga then I'll come back to comment anything here.
Wakazi wa nini apa?Wakazi mwenzako anateseka twitter huko. Sijajua umri wako ila kwangu Ngwair yupo kwenye top 5 yangu ya mda wote na kwa upande wa freestyle kwa kifupi hajapatikana wakuvaa kiatu chake,Ngwair ana uwezo wa kuflow hata kwenye biti ya mdundiko na akatoa hits.Ana uwezo wa kuimba nyimbo zote zenye ujumbe na za bata.
Wakazi wa nini humu anzisha mada yakeWanachomfanya huko twitter hadi huruma kuna clip yake moja alikuwa yupo times fm mtangazaji anamwekea biti halafu anamwambia tupe freestyle Wakazi anadai "leo sijajiandaa kwa freestyle.........." [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wakazi hata uniwekee mil 1,uniambie nikutajie nyimbo yake hata moja sijui ana trend tu kwa kujiona anajua sana kisa kakaa US ila ni mweupe kishenzi.
KabisaMimi nadhani mtoa post ame lenga kifo cha aibu na sio uwezo wa ngwair
Wamsikilize humu watamuelewa 🔥Subiri ufe pia Ili ukamwelekeze namna ulivyokuwa unakereketwa kitendo Cha yeye kuenziwa
Mziki haulipi bongo🤣hata Domo na crew yake walibeba Sana sembe enzi za kikwete na ndiyo iliyomtajirisha Domo,ngwea ile ilikuwa ajali kazini tu,so usimseme hata hao punda wengine walikuwa na wafadhili wa kuwavusha eapot kirahisi tu,ndo pona yaoHabari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.