Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Kabisa hii huwa naiskiliza zaidi ya mara 100Mangwair ft Chid Benz - speed 120
Huu wimbo ni π₯π₯ π
Sema Chid alipambambana humu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mangwair ft Chid Benz - speed 120
Huu wimbo ni [emoji91][emoji91] [emoji119]
hii flow[emoji119][emoji119][emoji119]
Mo alikimbizwa humu[emoji3][emoji3][emoji3]Huwa namfananishaga na TI huyu master
Hata kuwa raisi mnaweza kwani sisi wanaume vigezo tunapata wapi, kama kusoma wote ruksa kusoma.Nyingine Ni "Sikiliza" ya Albert Mangwair ft Jay Dee & Mwana FA, hi ngoma Ni [emoji91][emoji91] Sana nakwambia.
Mkikutana wakare kila mmoja anapania kwenye flow ila beat ilitulia sana pia. Perfecto π₯π₯Sema Chid alipambambana humu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Huu wimbo kila ukiusikia ni mpyaKabisa hii huwa naiskiliza zaidi ya mara 100