Ngwair na daz baba

Ngwair na daz baba

Rama7

Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
26
Reaction score
3
Hv ngwair na daz baba nani mkongwe kwenye game na album ya kwanza ya ngwair imetoka mwaka gani na album ya daz baba imetoka mwaka gani na nyimbo zao za kwanza zimetoka mwaka gani ??kama geto langu ya ngwair imetoka 2003 je??? ya daz baba imetoka mwaka gani???
 
Ngwea:
ishakuwa soo mtaani kashfa kibao, ngwea nshaamua sasa milupo NO, nahitaji honey, mwandani aendani nami, kuanzia tabia mpaka vitu flani, yaani ikiwezekana apandishe mpaka majani na asiwe anaboreka anapokuwa nami, awe

Daz Baba:
Mwenye lips paana...

Ngwea:
Ndio moja ya vitu ambavyo vinanchanganya sana na

Daz Baba:
Akicheka ana mwanya

Ngwea:
Sintokuwa na la kufanya zaidi ya kumpenda sanA...Ngwea
 
Daz Baba alianza kusikika akiwa na kundi la Daz Nundaz.
Ngwea alianza kutoa albam yake ya kwanza kabla ya Daz Baba.
 
Ngwea:
ishakuwa soo mtaani kashfa kibao, ngwea nshaamua sasa milupo NO, nahitaji honey, mwandani aendani nami, kuanzia tabia mpaka vitu flani, yaani ikiwezekana apandishe mpaka majani na asiwe anaboreka anapokuwa nami, awe

Daz Baba:
Mwenye lips paana...

Ngwea:
Ndio moja ya vitu ambavyo vinanchanganya sana na

Daz Baba:
Akicheka ana mwanya

Ngwea:
Sintokuwa na la kufanya zaidi ya kumpenda sanA...Ngwea

unamaanisha.... Wife ndo nyimbo ilowatoa??????
 
lakini sasa woote wamekuwa watumiaji wazuri wa kilevi cha Unga.
Pongezi kwao.
 
Ukimuona daz baba aka daz mwalim utatamani macho yako yawe yamekudanganya boooonge la teeeja duh kikwete anakaz na hawa wasanii wenzie
 
Back
Top Bottom