NHC gets $2Billion loan for its new Kawe Satellite City

Nitarifa nzuri lakini mafisi yatatafuna nusu ya hio pesa
 
Asset zote Nhc ni 1 billion USD, sasa hivi wanakopa mara mbili yake zaidi .... Safi sana
 
Nataka nifahamu tu zitapitia mikononi mwa Nani hizo Pesa?
 
Hili Deni kubwa sana.... na zile bei zao za kununua kiwanja kwa bilioni sasa watakuja kutuuziaje siye? Yani wanataka hiyo city yote waje kutuuzia kwa zile bei naziona online za milion 500-700 mhhh
 
Haya madeni si ndio huwa mnatupigia makelele, wapi wale anti-debt brigade Mwanzi1 kilam

Kwanza kabisa habari hii inafanya nini kwenye jukwaa la Kenya?

Miradi mingine iliyokamilika ya NHC inaendaje kibiashara? Tuhuma zozote za kifisadi zimedhibitiwa ipasavyo? Tunaweza kufurahia huu mkopo baadae tukaja kushangilia watu kutumbuliwa huku tumeshaingia hasara.
 
Huu mradi hautawasaidia watanzania walio wengi katika kuhakikisha wana pata nyumba za kupanga na kuishi za bei nafuu. Bei zake za awali zilikuwa za kichaa. Ndo maana bado nalia na hili shirika, haliwajengei wana nchi wa kipato cha kawaida walio wengi. Tutafurahia majengo marefu na mazuri ila hatutafaidika na wala haitaboresha maisha yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…