King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Vip kuhusu ukubwa wa kiwanja? Huko kibada ni mjini? Maana, vyumba viwili kwa milioni 25 - 40. Halafu wanasema ni kwa ajili ya watu wa hali ya chini
Last time ulinialika Full Shangwe tule bata,Hile sample nadhani ni sqr m 600,kibada pamechangamka sana papo fresh nina kiwanja pale karibia na mpoki muarabu wa libya
Kigamboni ni mjini. Miji inakua, usihofie umbali . Lasingi ni kufanya personal follow up ujiridhishe in and out.Vip kuhusu ukubwa wa kiwanja? Huko kibada ni mjini? Maana, vyumba viwili kwa milioni 25 - 40. Halafu wanasema ni kwa ajili ya watu wa hali ya chini
Hizo alijenga NSSF, polisi siku hizi wana nyumba nzuri ila zile Kinyenyerezi nadhani ni kwa ajili ya watu wafupi tuLakini wazo zuri, sema ziwe za kiwango angalau sio kama zile za kule KInyerezi sijui alijenga nani zimekaa kama kota za Polisi