kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 987
- 766
Wanabodi..!
Kuna uvumi unaendelea mtaani juu ya hizi taasisi mbili kuu za uma zinazojishughulisha na masuala ya uendelezaji wa milki hapa nchini Tanzania kuweza kuunganishwa na kuwa taasisi moja...!
Mwenye taarifa zaidi juu ya hili atujuze na nini mtazamo wako endapo taasisi hizi zikiungana na kuwa chombo kimoja...!
NB: TBA ni Tanzania Building Agency ; NHC ni National Housing Corporation
Nawasilisha