kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 987
- 766
Yule mama wa kule bukoba ni mke wake au?Nimemkumbuka Dr Dau.....
Ni sawa tu kwani mmiliki wa majengo yote hayo ni serikali!Wanabodi..!
Kuna uvumi unaendelea mtaani juu ya hizi taasisi mbili kuu za uma zinazojishughulisha na masuala ya uendelezaji wa milki hapa nchini Tanzania kuweza kuunganishwa na kuwa taasisi moja...!
Mwenye taarifa zaidi juu ya hili atujuze na nini mtazamo wako endapo taasisi hizi zikiungana na kuwa chombo kimoja...!
NB: TBA ni Tanzania Building Agency ; NHC ni National Housing Corporation
Nawasilisha
Mkuu umefika mbali!Yule mama wa kule bukoba ni mke wake au?
Maana, anaitwa Mwantumu kitwana Dau
vipi kuhusu DAWASA na DAWASCO,maana hawa hata tofauti yao haijulikani,mmoja hana kazi ya kufanya lkn yupo mwingine yupo busy sana!Wanabodi..!
Kuna uvumi unaendelea mtaani juu ya hizi taasisi mbili kuu za uma zinazojishughulisha na masuala ya uendelezaji wa milki hapa nchini Tanzania kuweza kuunganishwa na kuwa taasisi moja...!
Mwenye taarifa zaidi juu ya hili atujuze na nini mtazamo wako endapo taasisi hizi zikiungana na kuwa chombo kimoja...!
NB: TBA ni Tanzania Building Agency ; NHC ni National Housing Corporation
Nawasilisha
Kuna vitu vingi vilitakiwa kuwa Pamoja kama TFDA, TBS, TRA, BRELA na HALMASHAURIvipi kuhusu DAWASA na DAWASCO,maana hawa hata tofauti yao haijulikani,mmoja hana kazi ya kufanya lkn yupo mwingine yupo busy sana!