NHC wafukuza wagonjwa kwa deni la 40 million!!!

NHC wafukuza wagonjwa kwa deni la 40 million!!!

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
G T,
Ukisikia kufa kwa Msamba ndio hoko..............! Hekima, Busara, Imani, Subira na Uvumilivu vyote hupotea. Akili yote inahamia kwenye Pesa!! Inahuzunisha. Poleni sana watumishi wa zahanati ya Hekima na wote waliokuwa wakiitumia.
 
HEKIMA.JPG



Hili lina tofauti gani na NSSF walipofanya kama hivi?
Au kwa sababu ya interests binafsi?
 
Dawa ya deni kulipa, wakalipe amna kuangalia mtu husoni, NHC wanashidwa kufanya maendeleo kwa sababu ya wadeni kama hawa.
 
Dawa ya deni kulipa

hawa jamaa walitakiwa wamkodishe Dr Masau kwani anaweza kuwasaidia kutumia wagonjwa kama human shield asilipe deni

kwa hiyo siku hizi ukitaka usilipe deni then wewe kof=disha jengo from any of govt institutions kisha lipa rent ya mwezi mmoja the huyooo usilipe deni...landlord akija kukutoa wewe ita waandishi esp TBC na magazeti mengineyo

hutolipa deni ngo


ngoja nitaifuatilia hii issue nijue zaidi
 
Back
Top Bottom