Tell me how u can build low cost house ya ghorofa???�
It is doable, ni cheaper zaidi kuwa na flats kuliko single unitsTell me how u can build low cost house ya ghorofa???
Unataka kusema nini hapa?
sio mbaya pia tukaiandika lugha ya watu vizuri, ni '''''how u can........? au how can u..........?''''''' wataalamu wa ngeli turekebisheni hapa.Tell me how u can build low cost house ya ghorofa???
Tell me how u can build low cost house ya ghorofa???
Tatizo sisi waswahili huwa hatuna hob ya magorofa na tukizipata ni muda mfupi tuna piga bei na kwenda kibondi maji
mimi wanachoniudhi ni kuwa nyumba zao hazilengi mtanzania wa kawaida. sasa kama nyumba inauzwa mil 500 ni mtanzania yupi anayeweza kununua nyumba hiyo kama sio haohao mafisadi na matajiri waliopata hela zao kihalali wachache?
Sina hakika coz sijafika huko Michenzani, Zanzibar, lakini pia nasikia hizo ghorofa (za Karume) wanakaa watu wa kawaida tu. Sasa mzee kama kipato chako ni kidogo na umepata kisehemu chako cha vyumba viwili, sebule, choo na jiko, kwanini uuze kwenda Kibonde Maji?
mkuu niambie nyumba za bei ya chini kabisa unazozifahamu zilizojengwa/zinazojengwa na NHC ambazo hata mwalimu anaweza kuzi-afford.Ndio maana wanajenga nyumba za aina nyingi kulingana na mahitaji.
It is doable, ni chaper zaidi kuwa na flats kuliko single units
Kiswanglish chako kinaleta kichefuchefu.
Tell me how u can build low cost house ya ghorofa???
NHC wana mradi mzuri wa ujenzi wa nyumba. Hivi kwanini wasingejenga ghorofa (condominiums) badala ya nyumba za kawaida (za chini) ambazo zinakula maeneo ya ardhi kuliko ghorofa ambaz0 ujenzi wake unahifadhi ardhi kwa sababu zinakwenda juu lakini zinachukua wakazi wengi? Pia ghorofa zinaleta shepu nzuri ya maeneo ya makazi vilevile.