The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Serikali inakamilisha Utaratibu wa Kaya zisizokuwa na uwezo kupatiwa Bima za Afya za NHIF ambazo zitalipiwa na Serikali ili Kaya hizo ziweze kuwa na Bima hizo sambamba na kuondoa changamoto na Malalamiko ya wananchi kutoka katika Kaya hizo.
Hayo yameelezwa na Meneja Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF Mkoa wa Geita Elias Odhiambo wakati akigawa ( Derived Kids ) vifaa vya kujifungulia kwa wamama wajawazito wilayani Bukombe katika Hosptali ya Halmashauri hiyo pamoja na kituo cha Afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe Mkoani Geita.