NHIF Geita yatoa vifaa vya kujifungulia kwa mama wajawazito

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Serikali inakamilisha Utaratibu wa Kaya zisizokuwa na uwezo kupatiwa Bima za Afya za NHIF ambazo zitalipiwa na Serikali ili Kaya hizo ziweze kuwa na Bima hizo sambamba na kuondoa changamoto na Malalamiko ya wananchi kutoka katika Kaya hizo.

Hayo yameelezwa na Meneja Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF Mkoa wa Geita Elias Odhiambo wakati akigawa ( Derived Kids ) vifaa vya kujifungulia kwa wamama wajawazito wilayani Bukombe katika Hosptali ya Halmashauri hiyo pamoja na kituo cha Afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe Mkoani Geita.
Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo surplus wameitoa wapi na wao hawafanyi biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…