Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Dec 17, 2024 #1 Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya. Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu
Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya. Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Dec 17, 2024 #2 Tabutupu said: Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya. Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu Click to expand... Duuh! Mtoto 150k ?!!!! Mtu akiwa na watoto 6 imekula kwake. Watanzania tuzae mtoto 1 tu. Watoto hawana faida bali ni msala tu.
Tabutupu said: Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya. Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu Click to expand... Duuh! Mtoto 150k ?!!!! Mtu akiwa na watoto 6 imekula kwake. Watanzania tuzae mtoto 1 tu. Watoto hawana faida bali ni msala tu.
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Dec 17, 2024 #3 Tabutupu said: Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya. Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu Click to expand... Kama unaona aghali usijiunge
Tabutupu said: Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya. Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu Click to expand... Kama unaona aghali usijiunge
U Unitman JF-Expert Member Joined Jul 14, 2021 Posts 511 Reaction score 671 Dec 17, 2024 #4 Sasa hivi afya ni biashara sio huduma wizara imebadili gia angani lakini Mimi nafurahii saana mkome kushabikia CCM mkifikiri mnawakomia chadema tena tulieni kuweni wapole dawa iwaingie.diclopar kutwa x2.
Sasa hivi afya ni biashara sio huduma wizara imebadili gia angani lakini Mimi nafurahii saana mkome kushabikia CCM mkifikiri mnawakomia chadema tena tulieni kuweni wapole dawa iwaingie.diclopar kutwa x2.