Nhif interview tukumbushane wahusika na kufahamishana zaidi

markj

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
1,778
Reaction score
685
trh 14,15,17,23 na 24 mwezi huu wa 8! ni tarehe ambazo kutakuwa na written interview kwa nafasi mbalimbali zilizoombwa nhif. wengini ni wageni jamani na dsm. huko BARAZA LA MAASKOFU ndo mitaa ya wapi, tuelekezane ndugu zangu na kwa wale wataoanza trh za mwanzo interview tuwe tunapeana update kipi kitakuwa kinaendelea. natanguliza shukrani kwa hili.
 
hv wa tareh 14, ni wanini?je na watere 15 ni wanini,jamani naombeni mnikumbushe maaka mie nimesahau nilichokiomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…