IS analyst
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 274
- 466
Nimekata nikiwa sina tatizo na hata sasa sina tatizo ila haijulikani matatizo yanakuja lini mkuuBima ya afya hukatwa ukiwa huna tatizo na kikawaida hupaswa kuchukua mpaka miezi 3 kwa mwanachama mpya. Unajua maana ya BIMA? By the way ukiwa unaumwa then ukahisi garama zitakuwa kubwa ukakimbilia BIMA ni kosa kisheria kama ukiipatiwa chini ya miezi 3
Mwaka mmoja kwa mtu aliye single n 192,000/= kwa makadirio kila mwezi n 16,000/= hiyo n kwa kiwango cha chini.Mkuu ningependa kufahamu gharama za kukata bima ya NHIF Ni shingapi na Ni ya muda gani?
Asante Sana. Kwahiyo ukiwa na hiyo ya kiwango Cha chini Kuna hospital ukienda hautahudumiwa sababu Ni ya chini ?Mwaka mmoja kwa mtu aliye single n 192,000/= kwa makadirio kila mwezi n 16,000/= hiyo n kwa kiwango cha chini.
Yap...kuna vipimo, huduma za upasuaji na kulazwa hutopata.Asante Sana. Kwahiyo ukiwa na hiyo ya kiwango Cha chini Kuna hospital ukienda hautahudumiwa sababu Ni ya chini ?
Inawezekana ukiwa mwanafunzi ila kama umemaliza kusoma haiwezekaniHivi kama ile ya kwanza imefungwa....unaruhusiwa kuendelea nayo?????
Tatizo lako limetatuliwa au bado unasumbuliwa?May mwaka huu kadi yangu ya NHIF ilisitishwa kwa kuwa nimezidi miaka 18, hivyo mwezi uliofuata nikaamua kujinyima na kulipia bima kutoka kwenye kipato changu.
Baada ya malipo nikaambiwa nisubiri mwezi mmoja ndipo nichukue kadi yangu. Cha ajabu ni mara ya 3 sasa tokea mwezi uishe kila nikienda naambiwa njoo wiki ijayo au leta passport upewe kibali cha muda.
NHIF Kinondoni huu ni upuuzi badilikeni

Utapata huduma kulingana bima uliyokata .. kama kulazwa ukilipia 192,000 utakuwa na siku 30 za kulazwa mwaka mzimaYap...kuna vipimo, huduma za upasuaji na kulazwa hutopata.