MIKETHON1991
Member
- Aug 7, 2013
- 78
- 56
Habari wakuu,
Nitakwenda moja kwa moja kwenye mada. Tulikuwa tukielekezwa kuwa unapojiunga na huduma ya NHIF utakuwa unachangia kiasi fulani kila mwezi kwa walio na vigezo. Pamoja na kuchangia pia, utakuwa na nafasi ya watu wengine wa karibu (I guess 4) kunufuika kupitia uchangiaji wako: mfano mama/baba, mke/mume, na watoto.
Hivi karibuni imetokea tumeelekezwa kwamba kama mimi nina bima ya NHIF nilioipata kupitia mzazi wangu au mke ambao hadi leo bado wanachangia basi kwa kuwa nimeajiriwa saivi nami natakiwa kuchangia.
Maswali ninayojiuliza:
1. Lengo la bima ya NHIF ni kila mwananchi kuwa na kadi ya bima au kila mmoja kuchangia?
2. Kama nilieajiriwa saivi nikianza kuchangia nitapatiwa kadi nyingine mpya au hii niliyoipata kupitia wazazi wangu/mke/mume nitaendelez kuitumia?
3. Je, hivi sasa nimekosa sifa ya kuwa mnufaika kupitia wazazi/mke/mume?
4. Kama ni sheria mpya inamanisha nini?
Tafadhali naomba ufafanuzi kwa kadiri ya miongozo ilivyo.