NHIF na manyanyaso kwa wagonjwa

NHIF na manyanyaso kwa wagonjwa

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
773
Mgonjwa anaenda hospitali. Anaambiwa mtandao haufanyi kazi. Anakaa masaa, wagonjwa wa cash wanahudumiwa. Unaweza kufiwa na mgonjwa wako reception kusubiri mtandao.
 
...Si Mtandao huo huo ambao umetuweka Gizani siku tatu nzima tukishindwa kununua Umeme? Mtandao!!![emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom