N Nesi1 Member Joined Dec 14, 2023 Posts 21 Reaction score 19 Dec 19, 2023 #1 NHIF mkoa wa Tabora wanasumbua sana wafanyakazi wanaongoza kwa kuomba rushwa, pia wanalazimisha na mwenza wake awe namba ya NIDA Huu mfuko tunauchangia lakini masharti yamekuwa mengi lakini kila mwezi mnachukua pesa
NHIF mkoa wa Tabora wanasumbua sana wafanyakazi wanaongoza kwa kuomba rushwa, pia wanalazimisha na mwenza wake awe namba ya NIDA Huu mfuko tunauchangia lakini masharti yamekuwa mengi lakini kila mwezi mnachukua pesa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Dec 19, 2023 #2 Duh aiseee