Katesh one
Member
- Jul 13, 2019
- 16
- 11
Wadau wasalaam,Mimi in mwanachama wa mfuko huu,kinachoniumiza ni masharti yanayoumiza yaliyowekwa,kwamfano mtu huna wazazi umelelewa na mjomba au mtu mwingine huruhusiwi kumweka km mtegemezi,toeni ufafanuzi haya ni manyanyaso