K Katesh one Member Joined Jul 13, 2019 Posts 16 Reaction score 11 Jul 15, 2019 #1 Wadau wasalaam,Mimi in mwanachama wa mfuko huu,kinachoniumiza ni masharti yanayoumiza yaliyowekwa,kwamfano mtu huna wazazi umelelewa na mjomba au mtu mwingine huruhusiwi kumweka km mtegemezi,toeni ufafanuzi haya ni manyanyaso
Wadau wasalaam,Mimi in mwanachama wa mfuko huu,kinachoniumiza ni masharti yanayoumiza yaliyowekwa,kwamfano mtu huna wazazi umelelewa na mjomba au mtu mwingine huruhusiwi kumweka km mtegemezi,toeni ufafanuzi haya ni manyanyaso