M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Aug 5, 2012 #1 Jamani wale tuliomba nhif, je kuna mwenye tetesi interview wanaanza kuita lini? Alafu kwa wale wa jeshini nafasi kwa wenye professional zao tetesi nafasi ni mwezi wa tisa.
Jamani wale tuliomba nhif, je kuna mwenye tetesi interview wanaanza kuita lini? Alafu kwa wale wa jeshini nafasi kwa wenye professional zao tetesi nafasi ni mwezi wa tisa.
BIF Member Joined Aug 2, 2012 Posts 47 Reaction score 10 Aug 6, 2012 #2 Shukrani kwa Taarifa iyo ,ya Nhif sina mwendelezo.
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Aug 6, 2012 Thread starter #3 BIF said: Shukrani kwa Taarifa iyo ,ya Nhif sina mwendelezo. Click to expand... nimeona nikuongezee ka like hapo! karibu banah jf! japo na mimi sina muda mrefu tangu nijiunge
BIF said: Shukrani kwa Taarifa iyo ,ya Nhif sina mwendelezo. Click to expand... nimeona nikuongezee ka like hapo! karibu banah jf! japo na mimi sina muda mrefu tangu nijiunge