Juzi nimejaribu kujaza taarifa za wazazi ili waweze kupata bima ya afya lakini nilirudishwa kwa sababu zifuatazo:
Majina ya mama anatumia majina ya baba baada ya kufunga Ndoa.
Majina ya Baba yalikosewa NIDA badala ya kuitwa SAMWEL likandikwa SAMUEL.
NHIF wamesau hata kuwa bima ya afya ni agenda ya wote?