KERO NHIF wanasitisha vifurushi vya wanachuo kabla ya muda na kupelekea wakose huduma

KERO NHIF wanasitisha vifurushi vya wanachuo kabla ya muda na kupelekea wakose huduma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

alfanjr

New Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Habarini wanajamvi natumaini mpo salama.

Kuna hii ishu ya NHIF kuwahi kukatisha muda wa subscription ya BIMA za wanafunzi wa chuo cha UDSM ambapo BIMA zilitakiwa ziishe mwezi wa 11 badala yake zimekatishwa na kumalizia Oktoba 8.

Hii imeleta changamoto kwa watumiaji wa Bima hizi kwani wengi wao hulipia bima zao baada ya mwaka wa masomo kuanza .

Binafsi nimetokea kuchukizwa sana na jambo hili kwani hii ni dhuluma ya pesa ya mtanzania
 
Back
Top Bottom