johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mh. Konga amesema taasisi yake imebaini madaktari wanawaandikia wagonjwa dawa zisizo sahihi na huu ni uhujumu uchumi.
Konga amesema mtu anapokunywa dawa isiyostahili anakuwa amekunywa sumu hivyo hospital zinazofanya mchezo huu zitashughulikiwa na wizara.
Aidha Konga amesema hospital hizo zitalazimika kurudisha fedha zote walizolipwa isivyo halali.
Source: ITV