johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahahhaha mwanangu umenifanya nicheke hatariNa hivyo vitengo mlivyonavyo huko inatakiwa kufanyiwa assessment. Yaani manina nyie muwe wataalam kuliko waliopo field? Acheni kuzingua. Mnakera ssna
Lazima wamdanganyeWaziri wa afya kasoma HKL alafu anaongoza madaktari, unatarajia nini hapo?
Hahaha......duh!Na hivyo vitengo mlivyonavyo huko inatakiwa kufanyiwa assessment. Yaani manina nyie muwe wataalam kuliko waliopo field? Acheni kuzingua. Mnakera ssna
NHIF kilaza tu Tena mlevi unapeleka form anataka kurekebisha ni ujinga was halo yajuu. Halafu mtu mwenyewe kasoma certificate ya computer.
Hawana IT utakuta umejaza fomu au una renew kadi, control number utasuniri haitoki, wanakwambia tutakutumia sms ya control number ukalipie, sms utakaa wiki 3 hunioni. Hadi urudi ofisini kwao uifuate, ndio uipate ulipie. Siku moja nikawauliza hivi mtu ambaye anaishi nje ya mji, kijijini awe anashinda ofisini kwenu kufuatilia control number.NHIF kilaza tu Tena mlevi unapeleka form anataka kurekebisha ni ujinga was halo yajuu. Halafu mtu mwenyewe kasoma certificate ya computer.
Wanakera sana
Ummi anahangaika sana na huu mfuko sijui anatka niniTanzania tunalishwa very damn news reports
Kwamba madaktari ni wezi au hawajui madawa au ni vipi yani?
Kwa nini yeye NHIF ndio anajua zaidi madwa, yeye ni healthcare regulator?
If anything WAO NHIF ndio wana masharti kwa madaktari kuandika dawa cheap and cheesy
Punguza makasiriko..hoja unafunikwa na makasiriko yako.Tanzania tunalishwa very damn news reports
Kwamba madaktari ni wezi au hawajui madawa au ni vipi yani?
Kwa nini yeye NHIF ndio anajua zaidi madwa, yeye ni healthcare regulator ????
If anything WAO NHIF ndio wana masharti kwa madaktari kuandika dawa cheap and cheesy