NHIF yasema huduma zitaendelea kutolewa Hospitali ya Aga Khan hadi itakapotangazwa tofauti

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
1000052038.jpg
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo.

Hatua hii ni inatokana na Serikali kupitia Wizara ha Afya kuendelea na mazungumzo na Hospitali hiyo juu ya utoaji wa huduma kwa Wanachama wa NHIF.

Kutokana na hayo, Wanachana wa NHIF wanaweza kuendelea kuendelea kupata huduma katika Vitup vya Aga Khan kwa utaratibu uliokuwepo awali au kutumia vituo vingine vilivyosajiliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
Soma Pia:
 
Kumbuka pia inafunga vituo vyao vingi kuanzia kesho kutwa
 
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo.

Hatua hii ni inatokana na Serikali kupitia Wizara ha Afya kuendelea na mazungumzo na Hospitali hiyo juu ya utoaji wa huduma kwa Wanachama wa NHIF.

Kutokana na hayo, Wanachana wa NHIF wanaweza kuendelea kuendelea kupata huduma katika Vitup vya Aga Khan kwa utaratibu uliokuwepo awali au kutumia vituo vingine vilivyosajiliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
Soma Pia:
Nhif wana mislead wananchi. Kuna details nyingi hawaja sema kwenye barua hii. Time will tell.
 
NHIF mtatutoa roho huku tukitembea!

Kwa nini hamuwadai madeni waliyokopa vigogo woteee, tena wenye pesa nyingi zitokanazo na jasho na kodi zetu! Halafu eti wakiugua wanaenda kutibiwa nje ambapo napo of course wanatumia pesa za jasho na kodi zetu! Uhuni wa hali ya juu!
 
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo.

Hatua hii ni inatokana na Serikali kupitia Wizara ha Afya kuendelea na mazungumzo na Hospitali hiyo juu ya utoaji wa huduma kwa Wanachama wa NHIF.

Kutokana na hayo, Wanachana wa NHIF wanaweza kuendelea kuendelea kupata huduma katika Vitup vya Aga Khan kwa utaratibu uliokuwepo awali au kutumia vituo vingine vilivyosajiliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
Soma Pia:
JE , HOSPITALI ZA AGA KHAN ZIMEKUBALIJE KIRAHISI KUREJEA KWA NHIF AU SI BURE ...... ?

Inawezekana kuna tatizo kubwa zaidi ya bei za huduma au malipo ya NHIF kwao na hospitali nyingine binafsi!

Muda ni msema kweli kwenye jamii yetu watanzania. Ngoja tuone kivitendo makubaliano yao.
 
Bongo pakiduanzi yani mfuko wa afya serikali inajikopesha ni ujuha sijui wanawqzaga nn mwisho mfuko unahaha kulipa madeni
 
Nilipeleka maombi ya kazi aghakan wakanitupilia mbali...ona Sasa inaanza kufunga baadhi ya vituo vyake..dah ningeangukia pua...
Mungu ni mkubwa..
Kama hukufikia viwango wanavyotaka, kuna shida maombi yako yalikataliwa?
 
Hahaha wakubwa wakalazwe muhimbili labda mkurugenzi wa nifu hataki kazi. Hao wazee wa kifurushi cha suplimentary scheme sio mchezo.
 
NHIF mtatutoa roho huku tukitembea!

Kwa nini hamuwadai madeni waliyokopa vigogo woteee, tena wenye pesa nyingi zitokanazo na jasho na kodi zetu! Halafu eti wakiugua wanaenda kutibiwa nje ambapo napo of course wanatumia pesa za jasho na kodi zetu! Uhuni wa hali ya juu!

Mbaya zaidi ni vinara wa kutoa gawio kwa serikali utadhani inaingiza faida kumbe hasara tupu. Wanafeli vibaya mno
 
Back
Top Bottom