Nhif ??

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
379
Reaction score
165
ilikuwa tar 7.mwez ulopita baadh ya ndugu na rafik kibao walifanya interview kwenye hili shirika,then vp kuna m2 ana detailz zozote juu ya zile chance pale?je washachukua wa2?
 
some body commented on tha statu jamani cse hzo kaz zahtajika
 
hata mimi niliattend hiyo interview sijapata majibu mpaka sasa, mwenye information atu update basi ...!!
 
Unajua nini ndugu zangu ma-HR wa hapa Tz ni wap@ kwa sababu zile zilikuwa temporary opportunities za kuprocess ids. Vyuo walishafungua tangia oct na wengine wameshapewa. Sasa hizo ids ni za akina nani! JARIBUNI KUVUMILIA TUU NA KUJIPA MOYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…