Ni afadhali mara mia Yanga ipangwe na Mamelodi Sundowns kuliko ASEC Mimosas

Siku ya kwanza kupangwa makundi kwenye kundi la D kuna aliekajua kama Yanga ataingia robo halafu belouzdad asifuzu? Je kwenye kundi la simba kuna aliekajua kuwa wydad hatoingia robo fainal? Tuongee kisoka tuachane na mihemko ya balehe
Simba ana ugeni Gani na Robo fainali wakati msimu uliopita kacheza Robo fainali na waydad au ile ilikua ni Mechi ya makundi Simba vs kaizer chief 2021ilikua nin ile au Sio Robo ile Simba Vs Tp mazembe mwaka 2019 ilikua kitu Gani wew tupe recodi zako za Robo fainali za ligi ya Mabigwa tuzione apa Ndio tujue mim na wew Nani Mgeni wa Robo fainali au mwezetu huelewi maana ya Neno Ugeni maana ya Neno ugeni maana ake ni kwamba ilo jambo kwako ni jipya ungesema Simba ni mgeni kwenye semi final ningekuelewa afu ishu ya waydad kutoka kwenye Kundi letu si haituhusu
 
Hivi Simba ni bingwa wa ligi gani?
 
Wewe mzalendo na sii kama makolo🤓🤓🤓
 
Mwandiko wako ni mchafu sana ila hebu nikuvumilie tu,Ni hivi Kwasasa Yanga na simba wote ni wageni wa nusu au hilo nalo unabisha?
 
Usisahau Gamond ni mwagentina, si ajabu hata soka lao limefanana kidogo na Argentina

Sisi wanaArgentina tupewe yeyote, especially hao mamelody. ila sio Al ahly kwakweli, wale jamaa wakifika hatua hizi hawanaga kulemba.

Argentina na Mamelody, 2-1
 
Mwandiko wako ni mchafu sana ila hebu nikuvumilie tu,Ni hivi Kwasasa Yanga na simba wote ni wageni wa nusu au hilo nalo unabisha?
Mashabiki wa simba ushindi wa jana vs galaxy ni wa kujifariji ila ndani wanamaumivu sana hasa baada ya Yanga kufuzu robo fainal sababu hawana tena kitu cha kuwatambia labda waingie nusu
 
Mwandiko wako ni mchafu sana ila hebu nikuvumilie tu,Ni hivi Kwasasa Yanga na simba wote ni wageni wa nusu au hilo nalo unabisha?
lakini ujumbe umeupata kama Yanga sio Mgeni wa Robo fainali tupe Rekodi zake apa Robo fainali ya ligi ya Mabigwa mara ya mwisho kacheza lini Na kacheza Na Nani usilazimishe Yanga kuwa poti moja Na simba mzee Simba kwenye Ligi ya Mabigwa sio level zako wew level zako ao kina Galaxy na zalan
 
Tukija kwenye historia nitakuuliza kati ya simba na Enyimba yupi kwasasa ni bora?
 
Usisahau Gamond ni mwagentina, si ajabu hata soka lao limefanana kidogo na Argentina

Sisi wanaArgentina tupewe yeyote, especially hao mamelody. ila sio Al ahly kwakweli, wale jamaa wakifika hatua hizi hawanaga kulemba.

Argentina na Mamelody, 2-1
Unafeli sana mwanachi sasa utapewaje al ahly wakati mulikuwa kundi moja?
 
Kuongoza kundi sio sababu kwasababu simba alishawahi kuongoza kundi mbele ya al ahly point 13 kwa 8 za al ahly je mwisho nani alikuwa bingwa wa Caf champion league?
Sasa unajua maana ya kufuzu kuingia robo? Hakuna wabovu kulee. Elewa hilo.
 
Sasa unajua maana ya kufuzu kuingia robo? Hakuna wabovu kulee. Elewa hilo.
Point iliyopo kwa wenye akili timamu na tulioucheza mpira ni je kwanamna ipi simba ataivuka hii hatua ambao inampa tabu kwa miaka mingi? Na je Yanga nae kivipi ataingia nusu fainal?
 
Dada hujui soka, kaa kwa kutulia
 
Kwani apa mezani tunajadili issue ya Simba na Enyimba au Tunajadili issue Ya Simba na Yanga kwenye ligi ya Mabigwa
Si umeleta historia sasa kivipi tusiizungumzie Enyimba kwenye haya mashindano? Nikwamba mpira wa sasa ni uwekezaji mkubwa kiasi kwamba mwenye akili timamu hashangai yanga kuingia robo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…