Ni afadhali mara mia Yanga ipangwe na Mamelodi Sundowns kuliko ASEC Mimosas

Si umeleta historia sasa kivipi tusiizungumzie Enyimba kwenye haya mashindano? Nikwamba mpira wa sasa ni uwekezaji mkubwa kiasi kwamba mwenye akili timamu hashangai yanga kuingia robo
iyo Historia ulikua Unaletewa wew sio Enyimba maana unalazimisha kukaa kiti kimoja Na Simba kwenye hii michuano kubali tu aliyekutangaliua kakutangulia tu ata ukichukua Rekodi za Msimu huu bado nimekuzidi kama unabisha sema tukuweke data apa
 
Utopolo kila kitu lazima waroge,utaona kamati ya majini siku ya draw itakavyokesha ili draw yao wakutane na Asec
 
Asec hana timu ya kumfunga Yanga na ukiona Yanga kapangiwa na Asec jua Yanga anaingia nusu.
 
ni mbovu kwa sababu umeanza kuiangalia juzi ilivyocheza na simba hujui kuwa imeondokewa na striker wake SANKARA KARAMOKO ambaye licha ya kutokuwepo ila anaongoza kwa magori mpaka sasa
Hawana uzuri wowote wagumu kwenu.
 
Point iliyopo kwa wenye akili timamu na tulioucheza mpira ni je kwanamna ipi simba ataivuka hii hatua ambao inampa tabu kwa miaka mingi? Na je Yanga nae kivipi ataingia nusu fainal?
Unaizungumzia Simba ambaye hii ni mara ya tano kuingia hii hatua,je kwa Yanga ambayo hii hatuna ni ya kwanza zaidi ya miaka 30 imepita
 
Yanga akipewa asec au hata wale petro luanda ana nafasi kubwa sana ya kwenda nusu fainal
Petro mpaka ameifunga timu ya tunisia ujue wale jamaa ni hatari, ila all in all yanga lazima afike final
 
Mim nipe yoyote mzee wew ambaye unachagua chagua mara sjui Asec Wew kama Mwamba Subiri CAF watakudondesha Nani Usichague Chague Timu pale Hamna Polisi Tanzania
Waambie ukiingia robo lazima ukutane na wanalijua soka😍 Simba yoyote anajitupa uwanjani. Kuvuka au kutovuka ni DK 180. Huwezi kuwa Mkubwa Kwa kucheza na kina Marumo😁
 
Unaizungumzia Simba ambaye hii ni mara ya tano kuingia hii hatua,je kwa Yanga ambayo hii hatuna ni ya kwanza zaidi ya miaka 30 imepita
Huyo yanga akiingia nusu fainal na simba akaishia robo yupi atakuwa na rekodi kubwa kuliko mwenzie?
 
iyo Historia ulikua Unaletewa wew sio Enyimba maana unalazimisha kukaa kiti kimoja Na Simba kwenye hii michuano kubali tu aliyekutangaliua kakutangulia tu ata ukichukua Rekodi za Msimu huu bado nimekuzidi kama unabisha sema tukuweke data apa
Kuchukua rekodi za mashindano yote ambazo timu husika zinashiriki au kuchukua rekodi zipi?
 
Sawa Genta...
 
Waambie ukiingia robo lazima ukutane na wanalijua soka😍 Simba yoyote anajitupa uwanjani. Kuvuka au kutovuka ni DK 180. Huwezi kuwa Mkubwa Kwa kucheza na kina Marumo😁
Sorry lakini mpira wa miguu ni mchezo wa wanaume kwahiyo siwezi kubishana na wewe
 
Yanga akikutana na mamelodi itakuwa mechi bora wote wanajua kutawala mchezo na yanga akiwa Kwenye peak anamfunga yoyote , 2001 walikutana mwanza mchezo ukaisha kwa 3-3 marudianio Pretoria mamelodi akapita kwa 3-2 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…